Veronika wakunifanyia haya Mimi?

Veronika wakunifanyia haya Mimi?

Bado sijaona kosa la vero,mwenye kosa ni wewe ambaye unahudhuria vikao vya wanaume na kuanza kusinzia.Bado hujasema vero ongeza tukio lingine mpaka aseme
Nilijua kwakua kupitia changamoto atatulia
 
Sasa Mtu jobless Hela za kufanya yote hayo ulitoa wapi? sikukuu yote hii unataka kutupa chai badala ya bia!
Na mi nimeona chai hii, anataka pa kupatia kuponda single maza 🤣🤣🤣🤣
Ila single maza wanapitia magumu mtu akila akivimbiwa anakuja na chai yake ili kuwaponda…!!! Na huyo anayeponda hata sura ya baba ake halisi haijui!!!
 
Huyu ni Binti wa 2001 tu hapo. Aliolewa aktelekezwa na jamaa akiwa bado mdogo na watoto wawili. Mimi nikajitosa kuwa nae kimahusiano. Nilijinyima nikahakikisha watoto nalea kama wakwangu wakati huo yulewa pili alikua na mwaka mmoja tu. Nimehenya kupambania familia isiteteleke. Nimejibana Kwa kipindi chote cha miaka mitatu.

Kwa muda wote huo nilimpangia nyumba, mavazi yeye na watoto ,nililipa bili za umeme, michezo ya vikoba, chakula na Hela za matumizi. Mwaka jana mwezi wa tano alisema dada yake amejifungua Kwa operation anaenda kumuuguza.
Alikaa huko miezi mitatu aliporudi alirudi mwezi august na mwezi huu kajifungua mtoto wa kike kumanisha mimba alipatia Kwa dada yake huko.

Maumivu ninayopitia ndugu zanguni ni zaidi ya Yale ya kukosa ajira.

shida haufiki kwenye vikao vyetu
 
Binti wa 2001 ana watoto 3!!
Hio ni speed ya 5G!
 
Kunguru hafugiki-ila Kuna watu mna mioyo migumu
 
Back
Top Bottom