Very disturbing: Report ya ICC-Vikosi vya KMKM viliingizwa nchini kuua!

Jidu La Mabambasi

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2014
Posts
18,653
Reaction score
31,010
RIPOTI YA ICC, kipengele cha 79.

Mnamo Oktoba 29, kikosi cha kupambana na magendo cha Zanzibar (KMKM) kilitumwa Dar es Salaam kwenda kukandamiza maandamano kwa nguvu. Kikiwa kimepewa maagizo ya “kupiga risasi ili kuua” wakati wa amri ya kutotoka nje, maafisa hawa waliovaa barakoa waliungana na kikosi kingine kikubwa chenye kuogofya.

Operesheni hiyo iliendana na taarifa za kutisha kwamba baadhi ya Wazanzibari walikataa kuchukua hatua dhidi ya ukandamizaji mkali uliofanywa dhidi ya Watanganyika, huku Zanzibar ikiendelea kuwa tulivu. Uzembe huu unaashiria kutokuwa na maslahi kuhusu ukiukaji wa haki za binadamu.
===============
On October 29th, the Zanzibar anti-smuggling police unit (KMKM) was sent to Dar es
Salaam to violently suppress protests. Ordered to shoot to kill during the enforced curfew,

these masked officers joined a broader, menacing task force. The operation coincided with
disturbing reports that Zanzibaris refused to act against brutal crackdowns on Tanganyikans,
whilst Zanzibar remained calm. Such apathy signals alarming indifference to human rights
abuses. Reports of violence and impunity are mounting. Activists point to the fact that
President Hassan is a Zanzibari (the first to ever hold the title) and that she spared Zanzibar
from the killings and focused her wave of terror only against Tanganyikans
==================
Taarifa za vurugu na ukosefu wa uwajibikaji zinaendelea kuongezeka. Wanaharakati wanaelekeza lawama zao kwenye ukweli kwamba Rais Hassan ni Mzanzibari (wa kwanza kuwahi kushika nafasi hiyo) na kwamba aliyeacha Zanzibar bila kuguswa na mauaji hayo, huku mawimbi ya vitisho na ukatili yakielekezwa kwa Watanganyika pekee.

Kulingana na uchunguzi wa awali wa International Criminal Court -ICC, vikosi vya KMKM, Kikosi Maalum Cha Kuzuia Magengo, kiliingizwa Tanzania Bara, hususan Dar es salaam.
Kikosi hicho likihusika kuua waTangayika.
Hii ni habari mbaya, mbaya , mbaya sana.
Aliyevileta vikosi hivyo kuja kuua waTanganyika haieleweki alikuwa na nia gani.
 
Attachments

RIPOTI YA ICC, kipengele cha 79.

Kulingana na uchunguzi wa awali wa International Criminal Court -ICC, vikosi vya KMKM, Kikosi Maalum Cha Kuzuia Magengo, kiliingizwa Tanzania Bara, hususan Dar es salaam.
Kiksi hicho likihudika kuua waTangayika.
Hii ni habari mbaya, mbaya , mbaya sana.
Aliyevileta vikksi hivyo kuja kuua haieleweki alikuwa na nia gani.
downloadfile.jpg
 
Aliyevileta vikksi hivyo kuja kuua haieleweki alikuwa na nia gani
AMIRI JESHI MKUU!
 
RIPOTI YA ICC, kipengele cha 79.

Kulingana na uchunguzi wa awali wa International Criminal Court -ICC, vikosi vya KMKM, Kikosi Maalum Cha Kuzuia Magengo, kiliingizwa Tanzania Bara, hususan Dar es salaam.
Kiksi hicho likihudika kuua waTangayika.
Hii ni habari mbaya, mbaya , mbaya sana.
Aliyevileta vikksi hivyo kuja kuua haieleweki alikuwa na nia gani.
Wazanzibar wamezoea kuuwana kwa sababu za kisiasa.
Unaweza kuona kulikuwa na wauwaji ambao tabia zao zilionekana tofauti sana na Watanganyika kwenye kutoa ihai wa binadamu wenzao.
 
Me sitamani afe… ataabike kama alivotaabisha watu. Na kama kifo basi apate matesoooo makali kwanza kabla hajafa!

Uhai wa Ndugu zetu aliopora huyu Shetani ni vyema akaungane na Shetani wake aliyemtuma kutoa oda ya shoot to kill huko Jehanamu Hana sofa za kuendelea kupumua katika Ardhi na uso huu wa Dunia hata Mwenyezi MUNGU keshamkataa huyu Shetani mla damu za watu
 
RIPOTI YA ICC, kipengele cha 79.

Kulingana na uchunguzi wa awali wa International Criminal Court -ICC, vikosi vya KMKM, Kikosi Maalum Cha Kuzuia Magengo, kiliingizwa Tanzania Bara, hususan Dar es salaam.
Kikosi hicho likihusika kuua waTangayika.
Hii ni habari mbaya, mbaya , mbaya sana.
Aliyevileta vikosi hivyo kuja kuua waTanganyika haieleweki alikuwa na nia gani.
Yani unasema mtu kaleta vikosi kuua, halafu unauliza alikuwa na nia gani?
 
Kwamba KMKM ilitoka zanzibar kuja tanganyika; inamanisha kuwa I SHE SHE haiitambui TANZANIA, bali inaitambua tu TANGANYIKA!

kwamba I SHE SHE, imeisha fanya uchunguzi na imetoa report na kuiweka hewani wakati kesi imeishafunguliwa!

Hii itakuwa I SHE SHE ya akina kimambi.
 
RIPOTI YA ICC, kipengele cha 79.

Kulingana na uchunguzi wa awali wa International Criminal Court -ICC, vikosi vya KMKM, Kikosi Maalum Cha Kuzuia Magengo, kiliingizwa Tanzania Bara, hususan Dar es salaam.
Kikosi hicho likihusika kuua waTangayika.
Hii ni habari mbaya, mbaya , mbaya sana.
Aliyevileta vikosi hivyo kuja kuua waTanganyika haieleweki alikuwa na nia gani.
ICC walikuja lini kuchunguza?..
 
Back
Top Bottom