Kinkunti El Perdedo
JF-Expert Member
- Nov 28, 2020
- 5,616
- 14,106
Mambo ni magumu sana.
Hivi kuna msiba au majeruhi walivushwa kwenda Zbar?Hao KMKM Ndo wameua raia wengi pamoja na polisi wenzao
Inamaana waliletwa kwa kazi maalum
Shoot to kill..
Aliyewaalika anajulikana dunia nzima!
Huwezi kujua labda walipewa taarifa mapema km wageni wote walivyofanyaHivi kuna msiba au majeruhi walivushwa kwenda Zbar?
Napata walakini usikute Wazanzibari mfano wa Kariakoo walipewa ilani mapema