Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 18,653
- 31,010
RIPOTI YA ICC, kipengele cha 79.
Kulingana na uchunguzi wa awali wa International Criminal Court -ICC, vikosi vya KMKM, Kikosi Maalum Cha Kuzuia Magengo, kiliingizwa Tanzania Bara, hususan Dar es salaam.
Kiksi hicho likihudika kuua waTangayika.
Hii ni habari mbaya, mbaya , mbaya sana.
Aliyevileta vikksi hivyo kuja kuua haieleweki alikuwa na nia gani.
Aliyevileta vikksi hivyo kuja kuua haieleweki alikuwa na nia ganiRIPOTI YA ICC, kipengele cha 79.
Kulingana na uchunguzi wa awali wa International Criminal Court -ICC, vikosi vya KMKM, Kikosi Maalum Cha Kuzuia Magengo, kiliingizwa Tanzania Bara, hususan Dar es salaam.
Kiksi hicho likihudika kuua waTangayika.
Hii ni habari mbaya, mbaya , mbaya sana.
Aliyevileta vikksi hivyo kuja kuua haieleweki alikuwa na nia gani.
Wazanzibar wamezoea kuuwana kwa sababu za kisiasa.RIPOTI YA ICC, kipengele cha 79.
Kulingana na uchunguzi wa awali wa International Criminal Court -ICC, vikosi vya KMKM, Kikosi Maalum Cha Kuzuia Magengo, kiliingizwa Tanzania Bara, hususan Dar es salaam.
Kiksi hicho likihudika kuua waTangayika.
Hii ni habari mbaya, mbaya , mbaya sana.
Aliyevileta vikksi hivyo kuja kuua haieleweki alikuwa na nia gani.
Soma kipengele no 79.Wekeni PDF lote tulisome.
Nimebaki mdomo wazi 🫨🫨
DahSoma kipengele no 79.
Me sitamani afe… ataabike kama alivotaabisha watu. Na kama kifo basi apate matesoooo makali kwanza kabla hajafa!Tuendelee kusoma visomo vyetu ili parapanda ilie na bendera nusu mlingoti ipandishwe mapema kabla Mwaka huu haujaisha
Amepora uchaguzi na uhai wa Ndugu zetu na mbaya zaidi kawafukia kibabe
Me sitamani afe… ataabike kama alivotaabisha watu. Na kama kifo basi apate matesoooo makali kwanza kabla hajafa!
Yani unasema mtu kaleta vikosi kuua, halafu unauliza alikuwa na nia gani?RIPOTI YA ICC, kipengele cha 79.
Kulingana na uchunguzi wa awali wa International Criminal Court -ICC, vikosi vya KMKM, Kikosi Maalum Cha Kuzuia Magengo, kiliingizwa Tanzania Bara, hususan Dar es salaam.
Kikosi hicho likihusika kuua waTangayika.
Hii ni habari mbaya, mbaya , mbaya sana.
Aliyevileta vikosi hivyo kuja kuua waTanganyika haieleweki alikuwa na nia gani.
Kawaida hiyo,hata askari wa bara hupelekwa zenji,huua na kubakaHao KMKM Ndo wameua raia wengi pamoja na polisi wenzao
Inamaana waliletwa kwa kazi maalum
Shoot to kill..
Aliyewaalika anajulikana dunia nzima!
ICC walikuja lini kuchunguza?..RIPOTI YA ICC, kipengele cha 79.
Kulingana na uchunguzi wa awali wa International Criminal Court -ICC, vikosi vya KMKM, Kikosi Maalum Cha Kuzuia Magengo, kiliingizwa Tanzania Bara, hususan Dar es salaam.
Kikosi hicho likihusika kuua waTangayika.
Hii ni habari mbaya, mbaya , mbaya sana.
Aliyevileta vikosi hivyo kuja kuua waTanganyika haieleweki alikuwa na nia gani.
Ina maana ICC imeshaanza kufanya uchunguzi na kuja na hiyo taarifa?
Kama ni hivyo, basi tuko pazuri.