Mkuu 'jidu', swali lako hili ni muhimu sana.Aliyevileta vikosi hivyo kuja kuua waTanganyika haieleweki alikuwa na nia gani.
Huyu Ibilisi alipaswa kuwa ameshaachia ngazi. Huu ni unyama wa hali ya juu sana!RIPOTI YA ICC, kipengele cha 79.
Mnamo Oktoba 29, kikosi cha kupambana na magendo cha Zanzibar (KMKM) kilitumwa Dar es Salaam kwenda kukandamiza maandamano kwa nguvu. Kikiwa kimepewa maagizo ya “kupiga risasi ili kuua” wakati wa amri ya kutotoka nje, maafisa hawa waliovaa barakoa waliungana na kikosi kingine kikubwa chenye kuogofya.
Operesheni hiyo iliendana na taarifa za kutisha kwamba baadhi ya Wazanzibari walikataa kuchukua hatua dhidi ya ukandamizaji mkali uliofanywa dhidi ya Watanganyika, huku Zanzibar ikiendelea kuwa tulivu. Uzembe huu unaashiria kutokuwa na maslahi kuhusu ukiukaji wa haki za binadamu.
===============
On October 29th, the Zanzibar anti-smuggling police unit (KMKM) was sent to Dar es
Salaam to violently suppress protests. Ordered to shoot to kill during the enforced curfew,
these masked officers joined a broader, menacing task force. The operation coincided with
disturbing reports that Zanzibaris refused to act against brutal crackdowns on Tanganyikans,
whilst Zanzibar remained calm. Such apathy signals alarming indifference to human rights
abuses. Reports of violence and impunity are mounting. Activists point to the fact that
President Hassan is a Zanzibari (the first to ever hold the title) and that she spared Zanzibar
from the killings and focused her wave of terror only against Tanganyikans
==================
Taarifa za vurugu na ukosefu wa uwajibikaji zinaendelea kuongezeka. Wanaharakati wanaelekeza lawama zao kwenye ukweli kwamba Rais Hassan ni Mzanzibari (wa kwanza kuwahi kushika nafasi hiyo) na kwamba aliyeacha Zanzibar bila kuguswa na mauaji hayo, huku mawimbi ya vitisho na ukatili yakielekezwa kwa Watanganyika pekee.
Kulingana na uchunguzi wa awali wa International Criminal Court -ICC, vikosi vya KMKM, Kikosi Maalum Cha Kuzuia Magengo, kiliingizwa Tanzania Bara, hususan Dar es salaam.
Kikosi hicho likihusika kuua waTangayika.
Hii ni habari mbaya, mbaya , mbaya sana.
Aliyevileta vikosi hivyo kuja kuua waTanganyika haieleweki alikuwa na nia gani.
Mzee ruksa ni mkwere wa mkuranga!!Huyu Ibilisi alipaswa kuwa ameshaachia ngazi. Huu ni unyama wa hali ya juu sana!
Kwanini wanasema ni Mzanzibari wa kwanza kushika hiyo nafasi? Wamemsahau Mzee Ruksa?
Wazanzibari wengi ni descendants wa wahamiaji (walowezi) kutoka Tanganyika!Mzee ruksa ni mkwere wa mkuranga!!
Kwani huyu si m-Omani?Mzee ruksa ni mkwere wa mkuranga!!
Na ni Amiri Jeshi Mkuu aliyetoa amri ya 'shoot to kill '.Aliyevileta vikksi hivyo kuja kuua haieleweki alikuwa na nia gani
AMIRI JESHI MKUU!
Wazanzibari waliua Watanganyika zaidi ya 20,000 ili Mzanzibari mwenzao aendelee kuitawala Tanganyika .Hao KMKM Ndo wameua raia wengi pamoja na polisi wenzao
Inamaana waliletwa kwa kazi maalum
Shoot to kill..
Aliyewaalika anajulikana dunia nzima!
RIPOTI YA ICC, kipengele cha 79.
Mnamo Oktoba 29, kikosi cha kupambana na magendo cha Zanzibar (KMKM) kilitumwa Dar es Salaam kwenda kukandamiza maandamano kwa nguvu. Kikiwa kimepewa maagizo ya “kupiga risasi ili kuua” wakati wa amri ya kutotoka nje, maafisa hawa waliovaa barakoa waliungana na kikosi kingine kikubwa chenye kuogofya.
Operesheni hiyo iliendana na taarifa za kutisha kwamba baadhi ya Wazanzibari walikataa kuchukua hatua dhidi ya ukandamizaji mkali uliofanywa dhidi ya Watanganyika, huku Zanzibar ikiendelea kuwa tulivu. Uzembe huu unaashiria kutokuwa na maslahi kuhusu ukiukaji wa haki za binadamu.
===============
On October 29th, the Zanzibar anti-smuggling police unit (KMKM) was sent to Dar es
Salaam to violently suppress protests. Ordered to shoot to kill during the enforced curfew,
these masked officers joined a broader, menacing task force. The operation coincided with
disturbing reports that Zanzibaris refused to act against brutal crackdowns on Tanganyikans,
whilst Zanzibar remained calm. Such apathy signals alarming indifference to human rights
abuses. Reports of violence and impunity are mounting. Activists point to the fact that
President Hassan is a Zanzibari (the first to ever hold the title) and that she spared Zanzibar
from the killings and focused her wave of terror only against Tanganyikans
==================
Taarifa za vurugu na ukosefu wa uwajibikaji zinaendelea kuongezeka. Wanaharakati wanaelekeza lawama zao kwenye ukweli kwamba Rais Hassan ni Mzanzibari (wa kwanza kuwahi kushika nafasi hiyo) na kwamba aliyeacha Zanzibar bila kuguswa na mauaji hayo, huku mawimbi ya vitisho na ukatili yakielekezwa kwa Watanganyika pekee.
Kulingana na uchunguzi wa awali wa International Criminal Court -ICC, vikosi vya KMKM, Kikosi Maalum Cha Kuzuia Magengo, kiliingizwa Tanzania Bara, hususan Dar es salaam.
Kikosi hicho likihusika kuua waTangayika.
Hii ni habari mbaya, mbaya , mbaya sana.
Aliyevileta vikosi hivyo kuja kuua waTanganyika haieleweki alikuwa na nia gani.
Haieleweki kitu gani hapo, alivileta ili viue. Hii maana yake ilikuwa ni coordination kati ya Samia na Hussein Mwinyi otherwise KMKM isingewezekana wakatumika with that order ya SHOOT TO KILL.Aliyevileta vikksi hivyo kuja kuua haieleweki alikuwa na nia gani
AMIRI JESHI MKUU!
Halafu hizo nywinywi zimemrudia mwenyewe..Nia yake ilikuwa kuzuia nywinywi, nywinywi na nywinywinywi.
NILIWAAMBIA WATU KUWA MEINYI ANAUDIKQ KWA ASILIMIA 100% KUUA WATANGANYIKA ...KMKM HIPO CHINI YA RAIS WA ZANZIBARRIPOTI YA ICC, kipengele cha 79.
Mnamo Oktoba 29, kikosi cha kupambana na magendo cha Zanzibar (KMKM) kilitumwa Dar es Salaam kwenda kukandamiza maandamano kwa nguvu. Kikiwa kimepewa maagizo ya “kupiga risasi ili kuua” wakati wa amri ya kutotoka nje, maafisa hawa waliovaa barakoa waliungana na kikosi kingine kikubwa chenye kuogofya.
Operesheni hiyo iliendana na taarifa za kutisha kwamba baadhi ya Wazanzibari walikataa kuchukua hatua dhidi ya ukandamizaji mkali uliofanywa dhidi ya Watanganyika, huku Zanzibar ikiendelea kuwa tulivu. Uzembe huu unaashiria kutokuwa na maslahi kuhusu ukiukaji wa haki za binadamu.
===============
On October 29th, the Zanzibar anti-smuggling police unit (KMKM) was sent to Dar es
Salaam to violently suppress protests. Ordered to shoot to kill during the enforced curfew,
these masked officers joined a broader, menacing task force. The operation coincided with
disturbing reports that Zanzibaris refused to act against brutal crackdowns on Tanganyikans,
whilst Zanzibar remained calm. Such apathy signals alarming indifference to human rights
abuses. Reports of violence and impunity are mounting. Activists point to the fact that
President Hassan is a Zanzibari (the first to ever hold the title) and that she spared Zanzibar
from the killings and focused her wave of terror only against Tanganyikans
==================
Taarifa za vurugu na ukosefu wa uwajibikaji zinaendelea kuongezeka. Wanaharakati wanaelekeza lawama zao kwenye ukweli kwamba Rais Hassan ni Mzanzibari (wa kwanza kuwahi kushika nafasi hiyo) na kwamba aliyeacha Zanzibar bila kuguswa na mauaji hayo, huku mawimbi ya vitisho na ukatili yakielekezwa kwa Watanganyika pekee.
Kulingana na uchunguzi wa awali wa International Criminal Court -ICC, vikosi vya KMKM, Kikosi Maalum Cha Kuzuia Magengo, kiliingizwa Tanzania Bara, hususan Dar es salaam.
Kikosi hicho likihusika kuua waTangayika.
Hii ni habari mbaya, mbaya , mbaya sana.
Aliyevileta vikosi hivyo kuja kuua waTanganyika haieleweki alikuwa na nia gani.
Ila hata Watanganyika wenzetu waliua sana tu. Videos zinazoonyesha polisi barabarani wakiwaadhibu kwa mabuti wananchi, wale walikuwa Watanganyika. Tena hapo washawapiga risasi. Waliwapiga watu mabuti ya vichwa, tumbo, mbavu etc, huku wanapasiana kama mpirani. Waliokuwa wanaua watu siku ya kwanza jioni baada ya order ya shoot to kill, walikuwa wenzetu. KMKM hawakuwa hata wengi. Polisi wa Tanzania ni wana roho mbaya na akili za ajabu sana.Wazanzibar wamezoea kuuwana kwa sababu za kisiasa.
Unaweza kuona kulikuwa na wauwaji ambao tabia zao zilionekana tofauti sana na Watanganyika kwenye kutoa ihai wa binadamu wenzao.
Siyo kahaba tu na Mwinyi wa Zanzibar yupo ndani ya hii kesi ya mauaji....Tuendelee kusogeza kete na kusagia kunguni Bibi Chura samuya aingizwe KING.
Waislam watanganyika waliopo polisi ....udini ndiyo uliotumila pia kuua wao waliamini ni wakristo ndiyo walio andamana zaidiIla hata Watanganyika wenzetu waliua sana tu. Videos zinazoonyesha polisi barabarani wakiwaadhibu kwa mabuti wananchi, wale walikuwa Watanganyika. Tena hapo washawapiga risasi. Waliwapiga watu mabuti ya vichwa, tumbo, mbavu etc, huku wanapasiana kama mpirani. Waliokuwa wanaua watu siku ya kwanza jioni baada ya order ya shoot to kill, walikuwa wenzetu. KMKM hawakuwa hata wengi. Polisi wa Tanzania ni wana roho mbaya na akili za ajabu sana.