Very disturbing: Report ya ICC-Vikosi vya KMKM viliingizwa nchini kuua!

Naona mtawala wa kisiwani akiunganishwa na huu msala! Maana hivyo vikosi lazima vilitoka kwa amri yake
 
... Aliyevileta vikosi hivyo kuja kuua waTanganyika haieleweki alikuwa na nia gani...

Are you kidding?

Mwandishi vipi, anayeleta wauaji unakuwa hauielewi nia yake!

Kwanza inaonesha kuwa hata aliyevileta haumuelewi siyo?
Dah!
 
Mleta mada umeisoma hiyo unayoiita report????
 
Halafu Kuna zuzu mmoja anaielekeza tume ichunguze vijana wanahitaji haki gani?. Magufuli alituachia janga.
 
Hicho kikosi wenyewe wanaita idara MAALUM kiko chini ya SMZ nani kakipeleka Tanganyika?
 
Hicho kikosi wenyewe wanaita idara MAALUM kiko chini ya SMZ nani kakipeleka Tanganyika?
Asema DISTURBING maana Rais wa Zanzibar, Rais wa Jamhuri ya Muungano Mzanzibari, wameangiza kikosi cha KMKM kuja KUUA waTanganyika.
Tuanzie hapo.
 
Kuna gari linaonyesha maaskari wameficha nyuso na kuzungusha vilemba kama magaidi ya Alshababu na Hamasi ndo hao walitoka zanzibar??
Wazenji huku wanawaita MAZOMBI ni mchanganyiko wa vikosi vyote vya hiyo idara MAALUM
 
Kweli
 
Tuendelee kusoma visomo vyetu ili parapanda ilie na bendera nusu mlingoti ipandishwe mapema kabla Mwaka huu haujaisha

Amepora uchaguzi na uhai wa Ndugu zetu na mbaya zaidi kawafukia kibabe
Hiyo ni LAANA kwa wahusika.
Hawatakikwepa kikombe cha shubiri.
 
Huyu Shetani hatakiwi kuendekezwa hata Mufti wa Tanzania keshamkataa baada ya kubaini ukweli Kwamba Kuna waislamu walikuwa wametoka kwenda kuswali Sala ya Alasiri na wao wakafuatwa wakauwawa na risasi wakiwa msikitini wakiswali.
Hili ndilo la mwanzo kabisa, kama waTanzania tuanze kulitambua sote bila ya kuhusisha imani zetu.
Jambo kuu lililo mbele yetu ni kuvurugwa kwa umoja wetu kama waTanzania. Utanzania wetu usihusishwe na hizi imani tulizo nazo wananchi.

Wanaotafuta kutugawa, wanatumia udhaifu huu wa imani zetu. Tusiwape fursa hiyo.
 
Jibu ni Ndio
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…