Very disturbing: Report ya ICC-Vikosi vya KMKM viliingizwa nchini kuua!

Hao KMKM Ndo wameua raia wengi pamoja na polisi wenzao

Inamaana waliletwa kwa kazi maalum
Shoot to kill..
Aliyewaalika anajulikana dunia nzima!
Hivi kuna msiba au majeruhi walivushwa kwenda Zbar?
Napata walakini usikute Wazanzibari mfano wa Kariakoo walipewa ilani mapema
 
Hivi kuna msiba au majeruhi walivushwa kwenda Zbar?
Napata walakini usikute Wazanzibari mfano wa Kariakoo walipewa ilani mapema
Huwezi kujua labda walipewa taarifa mapema km wageni wote walivyofanya
Kumbuka Zanzibar ni nchi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…