Nimewaza sana😃Ina maana kumbe masai dada ndio Mahondaw ?
Kuna uzi alifungua leo kua anavutiwa zaidi na jinsia ya KE kuliko MEKweli ila hizo nilizokutajia ndio yeye mwenyewe asilimia 100
Sasa mbona apology inakuja in public wakati ni mambo wanatakiwa wamalize chumbani🤔 anyway ubuyu ni wa moto sana ngoja tuskilizie....😀😀Kuna uzi alifungua leo kua anavutiwa zaidi na jinsia ya KE kuliko ME
Naona kawaomba Mod's waufute coz mashambulizi yalikua makali sana!
Hujui wewe watu washafungua code😀😀Nina wasi wasi
1. Kichwa changu kinakuwa kigumu kuelewa
2. Mleta uzi hata yeye haelewi alichokiandika
3. Aliyeombwa msamaha na yeye hajui uzi
4. Nahisi tunao comment hatujui maana yake
Coz makosa yalifanyika in public na sio chumbani.Sasa mbona apology inakuja in public wakati ni mambo wanatakiwa wamalize chumbani🤔 anyway ubuyu ni wa moto sana ngoja tuskilizie....😀😀
Bwashee hapa ndio unatoka kupiga Bia au ndio unawaza uende Bar gani?
Ajiunge na wenzie kina mariposa kama msimamo wake ndio huo😁😁Coz makosa yalifanyika in public na sio chumbani.
Huyo Mariposa,mwanzoni alikua anajiita Culture me.Ajiunge na wenzie kina mariposa kama msimamo wake ndio huo😁😁
😄😄😄 Acha awakule tu
Nina ugomvi gani na wewe mpaka ushindwe kuniita jamani???Kuna uzi alifungua leo kua anavutiwa zaidi na jinsia ya KE kuliko ME
Naona kawaomba Mod's waufute coz mashambulizi yalikua makali sana!
hao ni watu wawili tofautiHuyo Mariposa,mwanzoni alikua anajiita Culture me.
🔥🔥😄But still something is not right., why did you have a gut to say that.??! Sorry haisaidii kitu, tayari una msukumo wa kuelekea huko.
.. Msukumo wa kutaka kuwalala wadada wenzio!!!
Inawezekana piahao ni watu wawili tofauti
Msimamo wake nae si ndo kama huu wa leo😀😀😀Huyo Mariposa,mwanzoni alikua anajiita Culture me.
Kuna id huwaga hazionekani siku za kawaida ila kukiwa na violence nazo zinaibuka 😄😄But still something is not right., why did you have a gut to say that.??! Sorry haisaidii kitu, tayari una msukumo wa kuelekea huko.
.. Msukumo wa kutaka kuwalala wadada wenzio!!!
Au inawezakana mahondaw kashapigwa chini jamaa ana pisi mpyaIna maana kumbe masai dada ndio Mahondaw ?
Bwashee hapa nimelala nazivuta moja moja chini ya uvungu , nilipatie koo chochote kitu🍺Bwashee hapa ndio unatoka kupiga Bia au ndio unawaza uende Bar gani?
Yes wale hawajifichi. Walishajiweka waziInawezekana pia
Ila ni watu wenye tabia moja.