The Icebreaker
Platinum Member
- Apr 24, 2014
- 39,582
- 123,152
Ngoja tuona kama zile cc zitaendelea au zitayeyuka.Au inawezakana mahondaw kashapigwa chini jamaa ana pisi mpya
Ngoja tuona kama zile cc zitaendelea au zitayeyuka.Au inawezakana mahondaw kashapigwa chini jamaa ana pisi mpya
Sisi ni midomo tu kajamaa kanazibomoa kimya kimya tuSmart911 ni mtu na nusu, character aliyoitengeneza humu sio poa!
Hapana mkuu,aliyefungua ule uzi sio mahondaw ni mleta mada.Mahandaw kumbe ndio michezo yake !!
hao ni watu wawili tofauti
Ni kasheitwani haka kaa nako mbali katakuharibu kisimiBut still something is not right., why did you have a gut to say that.??! Sorry haisaidii kitu, tayari una msukumo wa kuelekea huko.
.. Msukumo wa kutaka kuwalala wadada wenzio!!!
Anhaa kumbe !!Hapana mkuu,aliyefungua ule uzi sio mahondaw ni mleta mada.
Nimecheck profile yake jamaa ana posts zaidi ya 150k na zote ni anaomba miongozo tu! Maneno mengi hakuna ila nadhani PM kwake kumechangamka sana!😅Sisi ni midomo tu kajamaa kanazibomoa kimya kimya tuView attachment 3580701
Nyie midomo na Hela hamna mnaleta tafrani tu!.Nimecheck profile yake jamaa ana posts zaidi ya 150k na zote ni anaomba miongozo tu! Maneno mengi hakuna ila nadhani PM kwake kumechangamka sana!😅
Hahahaha katika watu wenye michango ya hovyo humu , ukitoa mimi ni yeye , ila kajamaa kako na misheni maalumu😅Nimecheck profile yake jamaa ana posts zaidi ya 150k na zote ni anaomba miongozo tu! Maneno mengi hakuna ila nadhani PM kwake kumechangamka sana!😅
Hela tunazo za pombe tu , nasio za kushusha sukari 😀Nyie midomo na Hela hamna mnaleta tafrani tu!.
Watu kama hao hawana maneno mengi wao ni vitendo tu.Nimecheck profile yake jamaa ana posts zaidi ya 150k na zote ni anaomba miongozo tu! Maneno mengi hakuna ila nadhani PM kwake kumechangamka sana!😅
Usiseme hatuna hela😅😅sema hela zetu hatuzitumii kula mbususu😅😅Nyie midomo na Hela hamna mnaleta tafrani tu!.