Very sory baby love! @Smart911 ....na wote kwa uzi ule

Very sory baby love! @Smart911 ....na wote kwa uzi ule

Status
Not open for further replies.
huyu smart anaplay smart kweli kweli,, kuna kipindi alipondwa Kule selfka wakamsema ni kafupi keusi ila bado anaendela kuwatafuna🤣🤣🤣 mchawi ni pesa mwanetu
Mchawi pesa ila ni maamuzi ya mtu pia,

Sio kila mtu yumo humu JF kwa kusaka penzi au kugegeda,
Wengine JF tunaitumia ili kupata tu ile social life na kupunguza upweke wa huku abroad.
 
Weee kipapa ni anguko kuu la mwanaume asikwambie mtu!

Hata mimi namkubali, mbinu zake sidhani kama kuna Me wa jf anamfikia, atakuwa ameziweka nyingi sana.

Kingine, hamsemi mtu, aaah anakula na kunawa kimyakimya 😅😅
ngoja nizungumze na ke za JF ili tumuandalie tuzo🤣 yeye anakula kmy kmya alf sisi ndo tunaokuja kummwagia sifa,, smart ndo Me anae jielewa JF nzima kwa sasa hivi
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom