Back N days
JF-Expert Member
- Apr 9, 2026
- 350
- 914
Anakuja kutoa mwongozo kwa faida ya memberMbona huyo Smart911 hajibu chochote?
Anakuja kutoa mwongozo kwa faida ya memberMbona huyo Smart911 hajibu chochote?
Kinyoya hakijawahi akimaliza Hela......SEMA tu za kuchezea hazipo zipo limited na majukumu.Usiseme hatuna hela😅😅sema hela zetu hatuzitumii kula mbususu😅😅
Ndugu hangu huyu kawekeza kwenye mbususu hasa za jf😅 sijui kama twitter, fb na huko insta na tiktok amewekeza namna hii.
Hebu anza tuone 🥰🤣ShesRise_1 Na sisi tuwe cc kama smart911 na mahandow🥰
Aah!!!! Wapi kijana ... Mkali humu ni mmoja tu acha ukisingizia sukari!.Hela tunazo za pombe tu , nasio za kushusha sukari 😀
Inawezekana ni tabia ya siku nyingi alikuwa akifanya kwa siri, ila leo imetokea kupata msukumo wa kusema ukweli.But still something is not right., why did you have a gut to say that.??! Sorry haisaidii kitu, tayari una msukumo wa kuelekea huko.
.. Msukumo wa kutaka kuwalala wadada wenzio!!!
Kafupi keusi ila waja 🤣🤣 je kama kanamtalimbo ukijumlisha na pesa 🤣🤣huyu smart anaplay smart kweli kweli,, kuna kipindi alipondwa Kule selfka wakamsema ni kafupi keusi ila bado anaendela kuwatafuna🤣🤣🤣 mchawi ni pesa mwanetu
Weee kipapa ni anguko kuu la mwanaume asikwambie mtu!Kinyoya hakijawahi akimaliza Hela......SEMA tu za kuchezea hazipo zipo limited na majukumu.
Mi kijana namtetea ana mbinu za uhakika maneno kidogooo vitendo unaipeleka mwenyewe.
Ndio umeanza et🤣Leo bwana miongozi kawa kakakuona😂😂😂
cc ShesRise_1
Hahaha,Ina maana kumbe masai dada ndio Mahondaw ?
🤣🤣🤣Mwamba ni Router Kubwa.
🤣🤣 mtu ana play smart jina linasadifu yaliyomoWeee kipapa ni anguko kuu la mwanaume asikwambie mtu!
Hata mimi namkubali, mbinu zake sidhani kama kuna Me wa jf anamfikia, atakuwa ameziweka nyingi sana.
Kingine, hamsemi mtu, aaah anakula na kunawa kimyakimya 😅😅
Mambo yetu watuachie wenyewe 🤣🤣🤣Ndio umeanza et🤣
wew na huyo ShesRise_1 havitokua na mda nasemajeeeeee Mtaachana tu😄😄😄😄Leo bwana miongozi kawa kakakuona😂😂😂
cc ShesRise_1