ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 22,235
- 51,111
Usikute na wewe upo kwenye list ya smart 🙌furaha🤣🤣🤣🤣
Usikute na wewe upo kwenye list ya smart 🙌furaha🤣🤣🤣🤣
Nakufahamu vyema ndiyo maana nimeshangaa...Imekuaje tena...
Mishangazi yote ileteni kwangu,Kabla ya kumpa tuzo tumuulize kwanza kama anatoka na mishangazi. Mshangazi nipo hapa kuwakilisha
aaah hapanaa haiwezi, anavitu vyake🤣Usikute na wewe upo kwenye list ya smart 🙌
Tunamtaka smart atakuwa ana kitu specialMishangazi yote ileteni kwangu,
Mimi ni Baba huruma,sichagui wala sibagui.
hao hawajaanza leo ni toka kitambo, sasa nyie mtashindwana maana mmeiga,, njoeni na njia nyingine ili mtuachie historia 😇Kwanini lakini mahi
Siku zote mtu anayesema ukweli ni yule wakati ana stress au hasira coz anakua amelose self control,hivyo anafunguka tu alichokua anaogopa kufunguka mwanzo,Nakufahamu vyema ndiyo maana nimeshangaa...Imekuaje tena...
Ukiwa na stress you know where to find me...
Its okay beautiful...
😍😍😍
Huu wivu shogile 😁hao hawajaanza leo ni toka kitambo, sasa nyie mtashindwana maana mmeiga,, njoeni na njia nyingine ili mtuachie historia 😇
zakina mayalaKuna id huwaga hazionekani siku za kawaida ila kukiwa na violence nazo zinaibuka 😄😄
Alichokosea ni kutaka jamii kujua; ni sawa na uamue kula kiti moto pale uarabuni.Hakuwa na haja ya kuomba msamaha. Her body her choice
Utualike sasa walevi wenzio japo mara moja kama huwezi kuhimili maumivu ya ma vampire.Kweli kabisa , nikipiga hesabu za kuhonga bora nikapate ubavu wa mbuzi na friji lijae bia 😅
Mbona una chochea motoSiku zote mtu anayesema ukweli ni yule wakati ana stress au hasira coz anakua amelose self control,hivyo anafunguka tu alichokua anaogopa kufunguka mwanzo,
So,alichokisema Masai alimaanisha hasa.
😀😀
Hahaha walevi tu mtakunywa mpaka mtambae , ila mambo ya kulipia uchakavu noh😀Utualike sasa walevi wenzio japo mara moja kama huwezi kuhimili maumivu ya ma vampire.
Wala sichochei,Mbona una chochea moto
Masai kabadili mtazamo hataki tena kusuguana K itaota sugu🤣
Mi namuelewa. Hawa watu huwa wanatamani sana watu wajue status yao pia wawaelewe.Alichokosea ni kutaka jamii kujua; ni sawa na uamue kula kiti moto pale uarabuni.
Umenifanya nicheke sana.Weee kipapa ni anguko kuu la mwanaume asikwambie mtu!
Hata mimi namkubali, mbinu zake sidhani kama kuna Me wa jf anamfikia, atakuwa ameziweka nyingi sana.
Kingine, hamsemi mtu, aaah anakula na kunawa kimyakimya 😅😅
Bro acha uchoyo. Naomba vochaHahaha walevi tu mtakunywa mpaka mtambae , ila mambo ya kulipia uchakavu noh😀
Yeuwiiiiii hata tukiachana sawakwahiyo unanichamba si ndio mwanetu?🤣🤣🤣 narudia kusema hiviiii hamfiki mbali yaaani Mtaachana tu