min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 61,672
- 178,673
Unanidai kreti la safari😅Bro acha uchoyo. Naomba vocha
Unanidai kreti la safari😅Bro acha uchoyo. Naomba vocha
HahahaaaAnakuja kutoa mwongozo kwa faida ya member
Lilete physically naenda kuliuza nipate helaUnanidai kreti la safari😅
hivi bby wako anaitwa nani ili nikalili I'd yake niwe nawakumbusha😂Yeuwiiiiii hata tukiachana sawa
Mambo yetu tuachie wenyewe (smart voice)🤣
Alisema ana ID zaidi ya 10. Unaweza kuta yeye ndio Smart911Ina maana kumbe masai dada ndio Mahondaw ?
Hata hivyo sijui masai alipatwa na nini mpka anataka ku escape dushelele😁Wala sichochei,
Mimi nchangamsha tu uzi wake.
Umewaza kama mimi tuIna maana kumbe masai dada ndio Mahondaw ?
Inawezekana pia ni mtu mmoja tu,anatuchezea game la Hide and Seek.Alisema ana ID zaidi ya 10. Unaweza kuta yeye ndio Smart911
Mwenyewe nishasahau jina lake 🤣hivi bby wako anaitwa nani ili nikalili I'd yake niwe nawakumbusha😂
Nitahakikisha umelinywa limeisha, nyama utakula na pombe utakunywa😀Lilete physically naenda kuliuza nipate hela
Ni mimi ila usimwambie mtu.hivi bby wako anaitwa nani ili nikalili I'd yake niwe nawakumbusha😂
khaaa kwahiyo unataka kunipa kazi ya kurudi juu kumtafuta? basi tukae hapa tumsubiri ajitokeze👌😄Mwenyewe nishasahau jina lake 🤣
Ivi ni nani kwani🤔
aii mi sina kaba ShesRise_1 njoo hukuNi mimi ila usimwambie mtu.
Mambo yake tumuachie mwenyewe (Smart voice)khaaa kwahiyo unataka kunipa kazi ya kurudi juu kumtafuta? basi tukae hapa tumsubiri ajitokeze👌😄
Sio huyo huyu namjua ni mshikaji wangu🤣aii mi sina kaba ShesRise_1 njoo huku
Niko hapa nasubiri mualiko.Hahaha walevi tu mtakunywa mpaka mtambae , ila mambo ya kulipia uchakavu noh😀
nitarudi hebu kwanza nikusanye vyombo nilileta order ya chakula huku site naona wamemaliza kulaMambo yake tumuachie mwenyewe (Smart voice)
Ila Jeyihefu
Babe take care 🥰nitarudi hebu kwanza nikusanye vyombo nilileta order ya chakula huku site naona wamemaliza kula