'Vestiges' kwenye miili ya wanyama, ushahidi tosha kwamba hatukuumbwa, bali tuli-'evolve' kuwa tulivyo

Tangu nimeandika huu uzi, hii ndio comment inayonifanya niamini kwamba kweli kuna watu wanfikiria kama mimi, maana naumia sana kuona watu wananibishia kwa vitu amabavyo ni soooo simple and logical, kiasi toka mwanzi nikasema kwamba watu wanaweza kujitoa akili na kubishia vitu dhahiri, logical amd evidence based kama evolution?! Aisee umeelewa vizuri mno hili suala la evolution. Your comment is truely and absolutely the best comment in this thread!!!!!!!!!
 
Kuna artificial selection ambayo inafanywa na binadamu ndiyo inaweza chukua mda mfupi kama huo lakini sio natural selection
Yees, kama tembo wenye pembe ndefu wanavyopungua na wale wenye pembe fupi wanavyoongezeka kupitia majangili (Artificial selection)
 
Okay hiyo ku'evolve alidesign nani?!
Kinachodesign evolution ni mazingira, kupitia ‘chance mutations’, ‘natutal / artificial selection’ na ‘adaptation’, ni kama chujio la chai linavyofanya kazi.
 
Thanks Franc.... Ku challenge belief system zilizoaminiwa zaidi ya miaka 2,000 au 3,000 ni tough


Thus why wengine huwa tunasubiri ku comment tu kwenye nyuzi za namna hii

Watu wengi wangeielewa evolution kungekua na kizazi cha binadamu wanao jua thamani halisi ya maisha...
Fact ya kwamba kuishi ni bahati ya mara moja na ulimwengu haukuumbwa kwa ajiri yako bali wewe ndiyo sehemu ya huo ulimwengu inayojitambua

Ni bonge la awareness
 
Imebidi nitafute video ya hao Samurai (Heike) Crabs, truely astonishing

Hii phenomena ya evolution ipo kwenye maua pia, ona hii video hapo chini

 
heavy[emoji119]
 
Exactly, Kama ni uumbaji, basi ulifanyika kwa mageuzi toka kiumbe cha seli moja majini hadi kufikia binadamu wa nchi kavu, lakini sio kama kwa magic wand kwamba paaaap, binadamu huyo akatokea kwenye udongo, no way!
Hufanani na avatar yako
 
Naambatanisha nakala, inafaa kujisomea kuongeza wigo wa hoja "Bloodline of the Gods
 

Attachments

Shida ni kuwa Darwin muhamasishaji wa theori hizo alikiri kuwa aliamua kumpinga Mungu baada ya mkewe kuugua muda mrefu,alipoomba mkewe akafa.Hivyo evolution ni uongo uliokusudiwa kulipa kisasi kwa mkristo aliyeasi Darwin.
 
Samurai crabs ni kielelezo bora kabisa cha evolution by artificial selection
 
Kwa hiyo na wewe unakubaliana na jamaa kuwa hakuna kilicho UMBWA?.
 
WaChina ni WaAfrika waliohama na kubadilika kutokana na mazingira

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…