Uzi ulioandikwa na agents wa Shetani kwa nia ya kupotosha ukweli!?Evolution is fake science which cannot be proved by scientific research and experimentation,so it's rubbish.
Katika quran kwenye habari ya uumbaji inasema Allah alimuumba mwanadamu kwa tone la manii. Sasa swali langu kwa waislam? Je hilo tone la manii ambalo Allah alitumia kumuumba mwanadamu alilitoa wapi? Je alilitoa yeye kwa kukutana na mwanamke au alipiga nyeto? Povu na matusi ruksa. Karibuni sana.
Vestiges ni viungo katika miili ya wanyama ambavyo vinaweza visiwe na kazi katika baadhi ya wanyama lakini vinakuwa na muhimu na ni vya lazima katika miili ya wanyama wengine.
Mfano 'tail bone' / mfupa wa mkia hauna umuhimu wowote katika mwili wa binadamu maana hatuna mikia sisi, lakini tunao mfupa huo; mfupa huo ni lazima na ni muhimu sana kwa wanyama wenye mikia kama ngedere nk. Hii inashiria kwamba hapo awali binadamu tulikuwa ni kiumbe tofauti kabisa kilichokuwa na mkia ila kwa sasa kiungo hicho kimepotea sababu matumizi yake hayapo tena. (If you don't use it, loose it), hii ndio principle inayotumika katika evolution.
Vestiges zipo nyingi sana katika animal kingdom, mfano nyangumi ana mifupa ya miguu iliyojificha ndani japo hana miguu,hii inashiria kwamba hapo awali alikuwa ni mnyama wa ardhini aliyetembea, na tena bado anazaa na kunyonyesha kama wanyama wengine wa ardhini na sio kutaga mayai kama wafanyavyo samaki.
Vestiges ni nyingi sana, tusaidiane kuziorodhesha na kuzichambua vilivyo na kwa undani kabisa.
Sasa binadamu mwenye akili timamu anaweza weza vipi kuamini kwamba binadamu aliumbwa kama alivyo leo hii na mwonekano wake huu wa sasa, yaani hakubadilika kutoka aina moja ya muonekano hadi kufikia huu muonekano wa sasa. Huwa mnatumia mbinu gani kujitoa akili kwa kiwango hicho?! Mbona mi nashindwa kabisa??!!!
=============================
Mfano mwingine ni kifuko cha appendix kwenye utumbo wa binadamu, kwetu hakina kazi lakini kwa wanyama wanaokula mimea huwa wanakihitaji sana hicho kifuko na kinakuwa ni kikubwa sana kwao na huwasaidia kwenye kusaga chakula, hii inaashiria kwamba tulikuwa mnyama mmoja ila kila mmoja akabadilika kulingana na mazingira yake..
=============================
Mfano mwingine ni 'vitendea kazi' vya uzazi kwa mijusi wanaozaa kwa kuji-clone, yaani hawa mijusi huwa wanataga yai ambalo ni clone yao wenyewe na hivyo hawaitaji kujaamiiana ili kuzaa. Sasa kwakuwa bado wana hivi viungo ambavyo vimebaki huwa wanavitumia kama kujiburudisha tu, lakini havina kazi kwa sasa,japo hapo nyuma vilijuwa na kazi.
=============================
'Atavists' ni viungo vilivyorudi kwa bahati mbaya kwenye viumbe ambavyo viungo husika vilishaondoka na kupotea, ila zile 'switch' za kiungo husika zinakuwa tu zimezimwa kwenye vinasaba vya kiumbe, na 'switch' hizo zinapowashwa tena kwa bahati mbaya, basi kiungo hicho hurudi. Mfano nyoka mwenye...
www.jamiiforums.com
=================================
Update: 27/08/2021
Mifupa ya nyangumi mwenye miguu ‘dating millions of years ago’ yapatikana.
Are you terrified yet? Because we certainly are. Scientists even named their discovery of a 43 million-year-old fossil after Anubis, an Egyptian god associated with death.
www.npr.org
View attachment 1912340
_______________________________
WaChina ni WaAfrika waliohama na kubadilika kutokana na mazingira
Umesema kuwa Kama kiungo hakitumiki hupotea chenyewe.
Swali: Ni vipi Hawa masista na mapadre ambao hawajamiiani/hawazai. Je mfumo wao wa uzazi unapotea mwilini mwao? Yaani nyeti zao hubaki kwaajili ya kukojoa na kunya tu?
Maisha ya ulimwengu is about evolution.
Mfano mtoto akiwa anayonya ziwa la mama yake Ila atakapo Anza kuota meno , mama ata muanzisha kunywa uji , na baadaye Meno yakiongezeka, mama ana mbadilishia chakula, ubwabwa laini na nyama ana mtafunia mpaka atakapo atakapo komaa.
Mfano uvumbuzi wa ndege, ukiufatilia historia yake ,kama ni wewe ungekuwepo kipindi hicho uzingekuja Amini Leo , kungekuwepo na ndege yenye uwezo wa kubeba abiri mpaka 500.
Angalia wamasai wa kipindi tz inapata Uhuru walikuwa morani wanawinda Simba kama ni jambo Lao la kukamilisha mila za kuwa morani .
Lakin Leo wamasai wamezuiliwa wasi wasi wawinde Simba Kwani, Simba wengi walipungua, Sasa Simba wameongezeka mpaka watalii wanapewa kibali cha kuwawinda ili kuweza Ku balance food chain.
Hii itawapelekea morani wa kimasai kukosa ushujaa kama Zamani, tunaona morani wanasuka nywele Huku mjini, Wana Kula chips yai, hawali Tena nyama isioiva Sana na maziwa mabichi , baadaye miaka 100 , Hata wamasai hawatafaa kuwa walinzi, kwani wengi watakuwa wazembe wenye vitambi.
Tunaona katiba mbovu ya tz na CCM ikiongoza nchiki kichenzi ,
Hii imepelekea kuwa na vuguvugu la kudai mabadiliko Kwa nguvu Sana, pengine wao CCM wanaamini wataongoza tz 🇹🇿 hivihivi , lakini kutokana na hasira za wananchi juu ya Katiba mbovu na CCM ikiongoza nchiki vibaya, huwenda pakatokea mapinduzi.
Samaki Garnai wanaoweza kutembea nchi kavu, kuogelea majini na kuruka angani. Wana mkia mrefu ambao huwasaidia kusawazisha wakati wa kutembea juu ya ardhi
Nature Ina Kila kitu ,Kila taarifa ,ni haki ya Kila kiumbe ku digest taarifa husika na kufikia hitimisho ,japo hakuna mwenye kuhakiki kama hitimisho lako ni sahihi zaidi ya ufahamu wako mwenyewe
Simba, Chui, Fisi na wanyama wengine wala nyama walikuwa wanakula nini katika bustani ya Eden? Chatu alikuwa anameza kitoweo chake katika bustani ya Eden? Mamba alikuwa anakula nini?? Ndege wala nyama na samaki walikuwa wanakula nini?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.