'Vestiges' kwenye miili ya wanyama, ushahidi tosha kwamba hatukuumbwa, bali tuli-'evolve' kuwa tulivyo

Uzi ulioandikwa na agents wa Shetani kwa nia ya kupotosha ukweli!?Evolution is fake science which cannot be proved by scientific research and experimentation,so it's rubbish.
Mfano Vestiges kama vishimo vya macho kwenye samaki wasio na macho deep sea kwenye giza, wana fake vipi??
 
Mfano Vestiges kama vishimo vya macho kwenye samaki wasio na macho deep sea kwenye giza, wana fake vipi??
Mkuu sijui niongee vipi,evolution is fake science because it cannot be proved by scientific research and experimentation.Nadhani tuishie hapo.
 
Mkuu sijui niongee vipi,evolution is fake science because it cannot be proved by scientific research and experimentation.Nadhani tuishie hapo.
Kwahiyo hao samaki wamekuwa forged? Ni fake? Appendix kwenye tumbo lako ni fake, haipo? Mifupa ya miguu kwenye nyangumi ni fake?
 
kufikirika. haya nayo ni maarifa lakini ya hovyo
 
Umesema kuwa Kama kiungo hakitumiki hupotea chenyewe.
Swali: Ni vipi Hawa masista na mapadre ambao hawajamiiani/hawazai. Je mfumo wao wa uzazi unapotea mwilini mwao? Yaani nyeti zao hubaki kwaajili ya kukojoa na kunya tu?
Hao ma padr si wanapiga punyeto, na masista wanasugua visimi so , viungo vyao vya uzazi vitabaki vikifanya kazi
 
Maisha ya ulimwengu is about evolution.
Mfano mtoto akiwa anayonya ziwa la mama yake Ila atakapo Anza kuota meno , mama ata muanzisha kunywa uji , na baadaye Meno yakiongezeka, mama ana mbadilishia chakula, ubwabwa laini na nyama ana mtafunia mpaka atakapo atakapo komaa.

Mfano uvumbuzi wa ndege, ukiufatilia historia yake ,kama ni wewe ungekuwepo kipindi hicho uzingekuja Amini Leo , kungekuwepo na ndege yenye uwezo wa kubeba abiri mpaka 500.

Angalia wamasai wa kipindi tz inapata Uhuru walikuwa morani wanawinda Simba kama ni jambo Lao la kukamilisha mila za kuwa morani .
Lakin Leo wamasai wamezuiliwa wasi wasi wawinde Simba Kwani, Simba wengi walipungua, Sasa Simba wameongezeka mpaka watalii wanapewa kibali cha kuwawinda ili kuweza Ku balance food chain.

Hii itawapelekea morani wa kimasai kukosa ushujaa kama Zamani, tunaona morani wanasuka nywele Huku mjini, Wana Kula chips yai, hawali Tena nyama isioiva Sana na maziwa mabichi , baadaye miaka 100 , Hata wamasai hawatafaa kuwa walinzi, kwani wengi watakuwa wazembe wenye vitambi.

Tunaona katiba mbovu ya tz na CCM ikiongoza nchiki kichenzi ,
Hii imepelekea kuwa na vuguvugu la kudai mabadiliko Kwa nguvu Sana, pengine wao CCM wanaamini wataongoza tz 🇹🇿 hivihivi , lakini kutokana na hasira za wananchi juu ya Katiba mbovu na CCM ikiongoza nchiki vibaya, huwenda pakatokea mapinduzi.
 
MJUE SANA MUNGU ILI UWE NA AMANI NDIVYO MEMA YATAKAVYO KUPATA.

AYUBU 22 : 21.
 
Nature Ina Kila kitu ,Kila taarifa ,ni haki ya Kila kiumbe ku digest taarifa husika na kufikia hitimisho ,japo hakuna mwenye kuhakiki kama hitimisho lako ni sahihi zaidi ya ufahamu wako mwenyewe
 
Hi ndio sayansi ya imani. Kwamba unatakiwa kuamini tu dhana ya mabadiliko ya viumbe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…