'Vestiges' kwenye miili ya wanyama, ushahidi tosha kwamba hatukuumbwa, bali tuli-'evolve' kuwa tulivyo

Sasa Kama hukuwepo utasemaje uli evolve
Kuwa ulivyo, si ndio imani yenyewe?
‘Evolution’ kwenye Morphology ya viumbe haina tofauti na ‘Modification’ inayofanyika kwenye magari ili kuendana na mazingira. Mfano, kuna Gari kubwa za mizigo zinatumia gearbox zenye ‘hatch’ kwa ajili ya kufunga Gear ya tipper, lakini hiyo gari haina tipper, lakini pia gari ya aina hiyo hiyo zipo zinatumia gear box hiyo hiyo na zimefunga kigear cha kupiga tipper. Hapo moja kwa moja unaona kabisa kwamba ile ambayo ina kishimo cha kufunga gear ya tipper ila haina tipper, ni kwamba ilibadilishwa matumizi kutoka kuwa gari ya kubinua na kuwa Lorry ka kwaida, hivyo kile kigear cha tipper (tipper control system) ikaondokewa maana haikuwa na kazi tena, ila kishimo kimebaki cha kufunger tipper gear. Sasa kile kishimo ndio kwenye viumbe tunaita ‘Vestiges’, maana yake kiumbe kimebadilika kulingana na mazingira kwa process ya ‘mutation’ na ‘Adaptation’ via ‘natural selection’.

Sasa hapo unahitaji uwepo ili kujua kwamba hilo gari lilibadilika kutoka kuwa la kubinua hadi kuwa la kawaida la mizigo?

Mnapewa ubongo wa kufikiri ila badala yake mnakuja humu jukwaani kuandika kwa kutumia makalio.., kaaa mbali na mimi kama huna hoja.
 
Acha kupaniki mzee, kwani unafikiri Mimi Sina hasira?
Mimi sikatai kwamba huenda tulikuwa na mkia. Shida Ni kwamba ili nikubaliane na wewe lazima nikuamini. Sasa unaiepukaje imani?
 
Mada ipo deep mpaka nashindwa nianzie wapi kukupa elimu ya uumbaji.

Lakini naamini hakuna current vestiges transformation iliyokuwa recorded zaidi ya uvumbuzi wa kuwepo kwenye miili ya viumbe bila development yeyote
 
Kwahyo binadamu na nyangumi walikua wanafanana
Kabla hapakuwa na nyangumi wala hapakuwa na binadamu, bali kiumbe kingine kilicho tawiwika na kuwa viumbe vingine vingi, wakiwamo nyangumi na binadamu, sasa wanafananaje wakati hawakuevolve baso kuwa walivyo sasa, yaani hawakuwepo
 
Acha kupaniki mzee, kwani unafikiri Mimi Sina hasira?
Mimi sikatai kwamba huenda tulikuwa na mkia. Shida Ni kwamba ili nikubaliane na wewe lazima nikuamini. Sasa unaiepukaje imani?
Kwani nimekuambia uniamini? Wala sijakuita hapa, soma hoja yangu, kama unayo hoja ya kujibu changia, kama huna kaa mbali
 
Mada ipo deep mpaka nashindwa nianzie wapi kukupa elimu ya uumbaji.

Lakini naamini hakuna current vestiges transformation iliyokuwa recorded zaidi ya uvumbuzi wa kuwepo kwenye miili ya viumbe bila development yeyote
Vestiges zitaendelea kutokea , sababu evolution bado inaendelea. Hata hawa tembo, watakuja kubaki wale wenye vishimo tu vya pembe (through mutation and selection by majangili). Mutant elephant atakaezaliwa bila pembe ndiye kizazi chake kitapona, wengine wote watafyekwa na majangili. That is how animals evolve via mutation and natural selection, huo ni mfano tu., hivyo watakuwa hawajaumbwa kuwa hivyo, bali wameevolve!
 
Mkuu ngoja kwanza.
Hizi hoja hizi twende taratibu. Unatuchanganya ujue
 
Mkuu ngoja kwanza.
Hizi hoja hizi twende taratibu. Unatuchanganya ujue
Unajichanganya mwenyewe, hizi ni evidence based facts, sio blah blah.., evokution inaendelea as we speak.., huoni hata binadamu wote walipokuwa Africa walifanana kimuonakano, ila wengine walipoondoka na kwenye mabara mengine wakabadilika kutokana na mazingira yao.., kiasi tuliobaki Africa tunafananishwa zaidi na nyani, ni rates tofauti za evolution…, binadamu wa miaka laki 5 ijayo atakuwa sio wa sasa, tunaweza hata kubranch out into different species..,
 
We are by
Naskia binadamu tulikuwa samaki pia ila time evolve kufika ivi tulivyo
 
We are by

Naskia binadamu tulikuwa samaki pia ila time evolve kufika ivi tulivyo
Morphology ya binadamu na Samaki ilikuwa moja katika kiumbe cha ‘Vertebrae’ cha kwanza.., wakati huo hapakuwa na samaki wala hapakuwa na binadamu, bali Vertebrae huyo wa kwanza akabranch out na kuwa viumbe vingi tofauti vyenyebuti wa mgoongo, wakiwemo samaki wenye uti wa mgongo na binadamu
 
Wangoni walitokana na wanyama ndio maana hawakutaka kuficha identity zao wakina mapunda,komba,ngonyani,sungura,kapecha,nyati ,ndomondo(Kiboko) Tembo.
 
Walifanana wapi acha ufala kuwalaghai watu. Acha uongoo! Evolution, evolution evolution ya Bibi yako! Kwendraaaaaa.

Hakuna Cha evolution Wala nyani hapa labda wewe na familia yako ndo mlikuwa manyani. Huna akili usituletee upuuzi huu Tena hapa. Lete mada za msingi tutajadili.
Sio umetoka huko umekula bhangi zako mbichi ukatafuna na mbegu alafu eti oooh!
Evolution kwa hiyo Kama evolution ndo unataka kugombea ili tukuchague uwe Mungu wewe au.
 
Huna hoja , kaa mbali, tupishe kwanza..
 
Wangoni walitokana na wanyama ndio maana hawakutaka kuficha identity zao wakina mapunda,komba,ngonyani,sungura,kapecha,nyati ,ndomondo(Kiboko) Tembo.
😂😂😂🙌🏾
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…