'Vestiges' kwenye miili ya wanyama, ushahidi tosha kwamba hatukuumbwa, bali tuli-'evolve' kuwa tulivyo

Wakati mwingine elimu Ni kuifanya akili ichangamke isikae kwa kulala. Hakuna ushahidi wa kisayansi kuthibitisha madai yako bila imani.

Na vipi ndugu yangu wewe unachukuliaje dhana ya uumbaji kwa upande wako?
Unamchukuliaje Mungu?
 
binadamu wote tumetokea Afrika mashariki kwa mujibu wa ‘World genomic mapping’, na wote tulikuwa weusi…, sasa hivi tukoje? Wote ni weusi?
Hizo taarifa unazitoa wapi ? Ndio maana nakuambia umekariri , kwa sayansi yako ni kwamba binadamu walibadili mfumo wa kuja duniani sio ?
 
Wakati mwingine elimu Ni kuifanya akili ichangamke isikae kwa kulala. Hakuna ushahidi wa kisayansi kuthibitisha madai yako bila imani.

Na vipi ndugu yangu wewe unachukuliaje dhana ya uumbaji kwa upande wako?
Unamchukuliaje Mungu?
Ushahidi ni hao samaki wenye vishimo vya macho kwenye fuvu ilihali hawana macho, unataka ushahidi gani?
 
Hizo taarifa unazitoa wapi ? Ndio maana nakuambia umekariri , kwa sayansi yako ni kwamba binadamu walibadili mfumo wa kuja duniani sio ?
Genetic study imefanyika kwa kutumia vipimo vya DNA vya sample groups za makundi yote ya watu duniani, na inaonyesha watu wote duniani wana Genetic markers toka kwa watu wa Africa, specifically Eastern Africa, na binadamu wakasambaa kote dujiani tokea hapo..

TAFITI HUPINGWA KWA TAFITI TU

Kwa hiyo hao wa zamani kumbe kwa sababu ya Gym?
 
huyo mwanadamu existence yake hapa duniani wala haina miaka elfu 40 bado....hiyo elfu 25 yenyewe kuna walakini.....sasa hizi milioni 200 n.k sijui huwa mnazitoa wapi..
Kwani kabla ya kuwa binadamu si tulikuwa family nyingine ya viumbe au? Ambayo ilikuwepo hundreds of millions of years au?
 
Una tatizo kubwa sana, unahoji sana halafu ukipata majibu unayageuza geuza kabla hujawasilisha kwa watu wewe mwenyewe unakuwa umeshachanganyikiwa unajikuta unanena kwa lugha.
Upo serious kabisa hich unachokiita mkia uliokatika haujui kazi yake ni ipi wala umuhimu wake?
 
Kwani kabla ya kuwa binadamu si tulikuwa family nyingine ya viumbe au? Ambayo ilikuwepo hundreds of millions of years au?
Nani amekwambia maneno hayo?! mwanadamu ni mwanadamu kama ulikuwa fisi kabla ya sisi kuja duniani ni wewe.
 
Mjamaa anajichanganya sana.
 
Binadamu ana mkia? Ofcourse hana, sasa kifupa cha kushika mkia cha kazi gani?

Tunajua kifupa cha kushika mkia kina matumizi ya kushika mkia kwa wanayama kama ngedere nk., ila kwa binadamu hakina tena kazi baada ya ‘mutation na natural selection’ kuondoa mkia kwa binadamu
 
Hiyo yote ili kufuta uhalisia kuwa viumbe vyote vina mwanzilishi wake, wanakwambia hapana vimetokea tu.
Mwanzilishi wake yupo, hakuna anaepinga, ila kinachojadiliwa ni namna viumbe mbali mbali vilivyotawiwika kutoka kwenye kiumbe kimoja cha kwanza (single celled organism)
 
Nani amekwambia maneno hayo?! mwanadamu ni mwanadamu kama ulikuwa fisi kabla ya sisi kuja duniani ni wewe.
Hayo si maneno yangu, ni uhalisia unaonekana kwa ushahidi unaotafitika…, mfano DNA ya Fisi na ya binadamu vinashabihiana kwa zaidi ya 98%, hiyo ni moja tu ya viashiria..

Mfano, Ukiangalia embryo ya fisi tumboni mwa mama yake na embryo ya binadamu ni sawa sawa, hiwezi kutofautisha katika zile wiki za mwanzo.

Ni kama baadae tembo wasiokuwa na pembe waje kuwa wengi na wale wenye pembe wamalizwe na majangili, kisha uje kusema hao tembo hawakubadilika kutoka kiwa wenye pembe hadi kutukuwa na pembe.., kwamba waliumbwa tu hivyo hivyo bila pembe toka siku ya kwanza. Huo si utakuwa utaahira?
 
Hoja yako ya kwanza kuhusu mkia.

Siku nikioneshwa skeleton ya binadamu na kuoneshwq mahali uti wa mgongo ulipoqnzia na kuishia, kisha nioneshwe huo mkia nitawqelewq sana wanasqyansi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…