'Vestiges' kwenye miili ya wanyama, ushahidi tosha kwamba hatukuumbwa, bali tuli-'evolve' kuwa tulivyo

Formula ya maisha haya, jinsi unavyozidi kumkufuru Mungu ndivyo unavyozidi kuonekana hayawani. Hahah! Na jinsi unavyozidi kuitafuta hekima ndivyo unavyozidi kuwa nayo.
 
Wewe kijana wewe acha kuchekesha unajua utaukosa ufalme wa Mungu kisa evolution
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…