Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,419
- 26,594
Tulioona mengi kwa miaki mingi tunafahamu kuwa kiongozi hakuibuka tu, na kupewa madaraka ya juu.
Wakati wa Mwalimu walienda mbali zaidi, viongozi walipikwa wakapikika. Na walijua mwishowe kuwa madaraka ya mwiho ni kauli ya wananchi kwa ujumla wao.
Na viongozi walipelekwa mafunzo, iwe JKT, Vyuo vya Chama na hadi Kivukoni.
Pamoja na kuwapika, viongozi walichujwa, Idara za Usalama walipitia historia zao na walipitia interview za kutosha. System ilipoona mtu anafaa kuwa kiongozi, hapo ndio anakuwa recommended kupewa madaraka kuanzia akiwa kijana hadi ngazi za juu.
Sasa leo watu kama Ole Sabaya, wabakaji, wezi, watumiaji madraka ovyo, wenye tabia chafu, kumetokea nini katika vetting system yetu nchini?
Badala ya kupata viongozi tunapata mbweha!
Kuna kitu ni seriously wrong.