Ok.Yes taifa lingepata mawazo mapya kwenye maeneo mengi.
Hasa ukizingatia kuwa walikuwa na agenda ya katiba mpya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ok.Yes taifa lingepata mawazo mapya kwenye maeneo mengi.
Hasa ukizingatia kuwa walikuwa na agenda ya katiba mpya
Ufundi wa kutukana na kudhalilisha watumishi wa umma hadharani.Vetting ya Awamu ya Mwendazake ili Kuwa moja [emoji28]
1. Kuchukia wapinzani
Ya pili [emoji116][emoji116][emoji116]
Bonus ya Sabaya
2. Hampendi Mbowe [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kweli mkuu, Awamu ya Tano, kuna udhaifu mkubwa sana katika kuchukua viongozi.Uko sahihi kuna kitu kina miss na ni hatari kwa Taifa. Natamani kuiona tena Special Branch ya akina Mzee Mwangonda, hii TISS nafikiri ama wameinyima utashi wa kisiasa au kuna watu nje ya mfumo na wakati mwingine si watanzania wanaihujumu tokea ndani.
Hilo linafikirisha.Hayo mambo ya vetting labda nchi za wenzetu lakini sio Bongo hii siamini kabisa kama yapo maana naamini kama yangekuwepo sidhani hata yule aliyemteua yeye ingewezekana kukabidhiwa madaraka.
Nasikia hata JK vetting ilimkataa. Alipitaje akawa rais?Tulioona mengi kwa miaki mingi tunafahamu kuwa kiongozi hakuibuka tu, na kupewa madaraka ya juu.
Wakati wa Mwalimu walienda mbali zaidi, viongozi walipikwa wakapikika.
Na walijua mwishowe kuwa madaraka ya mwiho ni kauli ya wananchi kwa ujumla wao.
Na viongozi walipelekwa mafunzo, iwe JKT,Vyuo vya Chama na hadi Kivukoni.
amoja na kuwapika , viongozi walichujwa, Idara za Usalama walipitia historia zao na walipitia interview za kutosha.
System ilipoona mtu anafaa kuwa kiongozi, hapo ndio anakuwa recommended kupewa madaraka kuanzia akiwa kijana hadi ngazi za juu.
Sasa leo watu kama Ole Sabaya, wabakaji, wezi, watumiaji madraka ovyo, wenye tabia chafu, kumetokea nini katika vetting system yetu nchini.?
Badala ya kupata viongozi tunapata mbweha!
Kuna kitu ni seriously wrong.
Wakati wa kikwete na Mwinyi mbona wezi walikuwa wengi? Nadhani bado naona kuna dalili ya ushabiki wa kikabila hata kwa mkosaji kama huyu. Kuna watu munaona mulikosewa sana kuliko wengine.Viongozi walevi wa madaraka na makatili kipindi cha Magu walikuwa na nguvu sana. Kwa ujumla tulikuwa tunatawaliwa kwa shuruti na mtu muovu, Ndio maana ukatili ilikuwa sifa ya uongozi.
Mkuu wa Wilaya mbakaji, mporaji kijambazi, na mtesaji unasema ukabila?Wakati wa kikwete na Mwinyi mbona wezi walikuwa wengi? Nadhani bado naona kuna dalili ya ushabiki wa kikabila hata kwa mkosaji kama huyu. Kuna watu munaona mulikosewa sana kuliko wengine.
Vetting iliendana na mahitaji ya awamuTulioona mengi kwa miaki mingi tunafahamu kuwa kiongozi hakuibuka tu, na kupewa madaraka ya juu.
Wakati wa Mwalimu walienda mbali zaidi, viongozi walipikwa wakapikika.
Na walijua mwishowe kuwa madaraka ya mwiho ni kauli ya wananchi kwa ujumla wao.
Na viongozi walipelekwa mafunzo, iwe JKT,Vyuo vya Chama na hadi Kivukoni.
amoja na kuwapika , viongozi walichujwa, Idara za Usalama walipitia historia zao na walipitia interview za kutosha.
System ilipoona mtu anafaa kuwa kiongozi, hapo ndio anakuwa recommended kupewa madaraka kuanzia akiwa kijana hadi ngazi za juu.
Sasa leo watu kama Ole Sabaya, wabakaji, wezi, watumiaji madraka ovyo, wenye tabia chafu, kumetokea nini katika vetting system yetu nchini.?
Badala ya kupata viongozi tunapata mbweha!
Kuna kitu ni seriously wrong.
Kwa hiyo kuna Awamu wabakaji, na majambazi walihitajika na System iliwabariki?Vetting iliendana na mahitaji ya awamu
Kitu cha ajabu huyu jamaa na makonda wana similarly characters toka zamani sijui wapi tunafailTulioona mengi kwa miaki mingi tunafahamu kuwa kiongozi hakuibuka tu, na kupewa madaraka ya juu.
Wakati wa Mwalimu walienda mbali zaidi, viongozi walipikwa wakapikika.
Na walijua mwishowe kuwa madaraka ya mwiho ni kauli ya wananchi kwa ujumla wao.
Na viongozi walipelekwa mafunzo, iwe JKT,Vyuo vya Chama na hadi Kivukoni.
amoja na kuwapika , viongozi walichujwa, Idara za Usalama walipitia historia zao na walipitia interview za kutosha.
System ilipoona mtu anafaa kuwa kiongozi, hapo ndio anakuwa recommended kupewa madaraka kuanzia akiwa kijana hadi ngazi za juu.
Sasa leo watu kama Ole Sabaya, wabakaji, wezi, watumiaji madraka ovyo, wenye tabia chafu, kumetokea nini katika vetting system yetu nchini.?
Badala ya kupata viongozi tunapata mbweha!
Kuna kitu ni seriously wrong.
Yule bwana mkubwa alikuwa hovyo sana angekuwa hai angepaswa na yeye aswekwe rumande kwani aliharibu nchi hii sana.Tulioona mengi kwa miaki mingi tunafahamu kuwa kiongozi hakuibuka tu, na kupewa madaraka ya juu.
Wakati wa Mwalimu walienda mbali zaidi, viongozi walipikwa wakapikika.
Na walijua mwishowe kuwa madaraka ya mwiho ni kauli ya wananchi kwa ujumla wao.
Na viongozi walipelekwa mafunzo, iwe JKT,Vyuo vya Chama na hadi Kivukoni.
amoja na kuwapika , viongozi walichujwa, Idara za Usalama walipitia historia zao na walipitia interview za kutosha.
System ilipoona mtu anafaa kuwa kiongozi, hapo ndio anakuwa recommended kupewa madaraka kuanzia akiwa kijana hadi ngazi za juu.
Sasa leo watu kama Ole Sabaya, wabakaji, wezi, watumiaji madraka ovyo, wenye tabia chafu, kumetokea nini katika vetting system yetu nchini.?
Badala ya kupata viongozi tunapata mbweha!
Kuna kitu ni seriously wrong.
Makonda kama ni mwanamume kweli aende Klauzi🙄🙄Mbona huulizi ya Makonda?
Bado wapo wengi sana wataburuzwa kwa pilato
HA LUGOLA ALIISHIA KUULIZIA MBWA WA MAKAO MAKUU YUKO WAPI,WAKATI PUMBA YAKULISHA HAKUPELEKA.Sirro nilimpa bigup MBWA MBWA WAZIRI MZIMAMimi tangu Kangi Lugola alipepewa tu dhamana ya kuwa Waziri wa mambo ya ndani hapo ndio nilidhibitisha kuwa Inner circle ya Marais wengi haswa Wa africa haipo kwa ajili ya kumsaidia kiongozi atekeleze majukumu yake kwa ufanisi bali ipo kwa ajili ya kumfarahisha na Unafiki wa kiwango cha juu, Hayati Magufuli alimpenda sana kijazi mana alimkosoa kwa staha na Umakini mkubwa privately na pia hakutamani madaraka makubwa leo unakuwa na inner circle ya watu wapenda publicity na madaraka lazima uwe ousted tu