Nyanda Banka
JF-Expert Member
- Mar 14, 2023
- 304
- 1,054
1.Unatambua kuwa unaweza kutofautiana na watu wengine bila kuwakosea heshima. Unatambua kuwa unaweza kutofautiana na watu wengine bila kuwapandishia sauti.
2. Unaanza kujitokeza na kuondoka katika muda ulioupanga. Watu wanakufahamu kwa umakini wako wa muda.
3. Unaacha kuwahukumu watu kutokana na muonekano wao. Unaacha kuwahukumu watu kwasababu ya kueleza mawazo yao kwa uwazi. Unajisikia kuwa huwezi tena kukaa kwenye meza zinazojadili watu.
4. Unatambua kuwa kuwatia wengine moyo kufanya vizuri zaidi, hukufanya wewe pia kuwa bora zaidi. Unathamini na kupongeza juhudi za watu, na sio matokeo pekee.
5. Unasimama pamoja na watu wako wa karibu hata pale wanapokuwa mbali. Unawaongea vyema watu wengine unapokuwa nyuma ya pazia.
6. Unatambua kuwa ingawa unaona kila kitu, bado unaweza kuamua kutojibu au kutojihusisha na kila kitu.
7. Hausumbuki tena watu wanaposema kuwa huwezi kufanya kitu kwasababu unajua kuwa wanasema hivyo kutokana na kikomo cha upeo wao na sio kwasababu huwezi.