Suzy Elias
JF-Expert Member
- Nov 9, 2021
- 1,067
- 6,200
Ukweli ni kwamba Rais Samia anaupenda u Rais na hayupo tayari kabisa kuuachia na kwa gharama yeyote inaonekana yu-radhi kuupambania kwa namna yeyote ile.
Samia hataki kabisa kuona yeyote yule akionyesha dalili za kutaka uongozi huko mbele katika anga lake.
Samia ni muumini wa kupambwa kuliko hata Magufuli.
Niwahakikishie,bado kitambo kidogo Rais Samia ataunda jopo la utetezi kwake litalokuwa na vitengo vifuatavyo;
...watu wa sifa,
...watu wa kumhami,
...watu wa kunyamazisha,
...na mwisho watakuwepo watu wa kulipa kisasi!
Muda utaongea.