Suzy Elias
JF-Expert Member
- Nov 9, 2021
- 1,067
- 6,200
Yule ni pepo mchafuHakuna atakayeweza kuvunja record ya Magu
...kujihisi-hisi ndiko kutakapopelekea niliyoyaandika.Amna kina chomsumbua mama anaona haheshimiki kwasabab ya jinsia yake, anaona mbna wakati wa mtanguliz wake wana CCM wengi waliogopa hata kuonesha makundi yakuukwa uraisi muda ukiwa bado.. Mama kazi kubwa aliyonayo kama ata taka afanye kazi kwa raha bila kuhujumiwa atafute safu yake mpya kwanzia kwene baraza la mawaziri, lasi hivyo ata endelea kupata wenge
Samia hakubali misamaha ya kibwege. Ukimzingua, MnazinguanaSamia ni mdhaifu alikuja na taarabu zake vidole juu. Manyamera yametaka kumuingizia kidole jichoni sasa kaona akikaa kiree watamtia upofu kaanza kucharuka charuka ila hana udikteta wowote ule.
Ile pekee kusifia uswahili wa matamko ya kumpinga Ndugai tayari ni ushahidi tosha yeye ni mswahili na mpenda nyimbo za mapambio.Maono yako hayana ushahidi wowote,angalia matendo yake utaona
Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
Ww tu huzijui siasa za CCM... Mwenyekiti ndio kila kitu ndio ubadilisha upepo wa chchte kile ni vile tu samia anatakiwa kutumia hyo nafasi ili aweze ku govern... Mbna hata wakati magufuli anajaribu kupang safu yake na kutoa Ile ya awamu ya nne watu waliojarbu kusema maneno mengi ila mwisho wa siku mwenyekiti ananguvu kuliko yyte yule, watamfwata na kujikomba wao wenyew period. Awe tu na msimamo na apange safu yake...kujihisi-hisi ndiko kutakapopelekea niliyoyaandika.
...kuhusu safu yake mpya amini nakwambia bado haitasaidia lolote maana wataumizana wao kwa wao kwa kusigana huku wakisema huyu ni wa wale na si wa kwetu.
Ukweli ni kwamba Rais Samia anaupenda u Rais na hayupo tayari kabisa kuuachia na kwa gharama yeyote inaonekana yu-radhi kuupambania kwa namna yeyote ile -- uraisi ndio cheo cha juu kabisa katika nchi, ni fursa adimu anayoweza kupata mtu duniani. Ukiwa raisi una madaraka, yote, heshima yote, na neno lako ni la mwisho, kila mtu aangependa kupata nafasi hiyoUkweli ni kwamba Rais Samia anaupenda u Rais na hayupo tayari kabisa kuuachia na kwa gharama yeyote inaonekana yu-radhi kuupambania kwa namna yeyote ile.
Samia hataki kabisa kuona yeyote yule akionyesha dalili za kutaka uongozi huko mbele katika anga lake.
Samia ni muumini wa kupambwa kuliko hata Magufuli.
Niwahakikishie,bado kitambo kidogo Rais Samia ataunda jopo la utetezi kwake litalokuwa na vitengo vifuatavyo;
...watu wa sifa,
...watu wa kumhami,
...watu wa kunyamazisha,
...na mwisho watakuwepo watu wa kulipa kisasi!
Muda utaongea.
Kwani magu alofanya kitu gani zaidi ya kurundika mamikopo ili ajaye ndo aathirike na mamikopo hiyo. Pili wasiojulikana aliwatrngeza Sasa hawapo tena.lile lilikuwa jiniHakuna atakayeweza kuvunja record ya Magu
Nchi yetu ni mchanganyiko wa demokrasia ya magharibi, urusi, china, ukileta mbwembwe watu wanakukalisha tuUkweli ni kwamba Rais Samia anaupenda u Rais na hayupo tayari kabisa kuuachia na kwa gharama yeyote inaonekana yu-radhi kuupambania kwa namna yeyote ile.
Samia hataki kabisa kuona yeyote yule akionyesha dalili za kutaka uongozi huko mbele katika anga lake.
Samia ni muumini wa kupambwa kuliko hata Magufuli.
Niwahakikishie,bado kitambo kidogo Rais Samia ataunda jopo la utetezi kwake litalokuwa na vitengo vifuatavyo;
...watu wa sifa,
...watu wa kumhami,
...watu wa kunyamazisha,
...na mwisho watakuwepo watu wa kulipa kisasi!
Muda utaongea.
Yeye mwenyewe ni Rais wa mirathiSerikali ya kurithi ina tabu zake. Akisimika serikali yake ataeleweka.
Yeye ni raisi wa Katiba, hakuna mtu mwenye kiti cha uraisi miongoni mwa wananchi ila Katiba tunayoifwata ndio Ina kisii madarakaYeye mwenyewe ni Rais wa mirathi
Kweli tupuUkweli ni kwamba Rais Samia anaupenda u Rais na hayupo tayari kabisa kuuachia na kwa gharama yeyote inaonekana yu-radhi kuupambania kwa namna yeyote ile.
Samia hataki kabisa kuona yeyote yule akionyesha dalili za kutaka uongozi huko mbele katika anga lake.
Samia ni muumini wa kupambwa kuliko hata Magufuli.
Niwahakikishie,bado kitambo kidogo Rais Samia ataunda jopo la utetezi kwake litalokuwa na vitengo vifuatavyo;
...watu wa sifa,
...watu wa kumhami,
...watu wa kunyamazisha,
...na mwisho watakuwepo watu wa kulipa kisasi!
Muda utaongea.