Viashiria: Huenda Rais Samia atakuwa dikteta kuliko Hayati Magufuli

Hakika dalili zinaanza kuonekana, Kesi ya mchongo ya Mbowe ni dalili za mwanzo kabisa,.
 
Acha upumbavu,hakuna asiyejua ushenzi wa Mwendazake..

Samia atakuwa kama JK ,kung'ata na kupuliza ndio maana saizi kawaacha mnaropoka tuu.

ILa ukiwa ndani ya chama marufuku.
 
Huyu atakuwa muuaji kuliko Jiwe
 
Sawa tuu hata magufuli alikuwa anapambwa kwa sifa na mapambio ya kila namna mpaka kufikia watu kumwita mungu.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Hakuna mwanamke ambaye hapendi kusifiwa na kupambwa pambwa!!
 
Uzuri wa Samia ni msikivu hata kama akisifiwa anavimba kichwa kama walivyo wanadamu wengi duniani. Hana majivuno yaliyopitiliza, hajioni kama ni Mungu mtu sifa iliyo mbaya kuwa nayo kiongozi yoyote.

Uzuri wa Samia anajichanganya na watu wa mataifa mbalimbali, haogopi kujifunza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…