Viashiria: Huenda Rais Samia atakuwa dikteta kuliko Hayati Magufuli

NAANDIKA KWA HERUFI KUBWA KABISA, HATAKUJA TOKEA DIKTETA KAMA MAGUFULI,

MWACHENI MAMA HANA TAMAA YA MADARAKA, HAWEZI PINDISHA KATIBA ILI ATAWALE MILELE,

AANGALIE TU NAMNA YA KUISHI VYEMA.NA WAPINZANI, ATAKUWA KIONGOZI MZURI,

NG'OA KABISA SUKUMA GANG WALITESA SANA WATANZANIA KWA CHUKI ZAO BINAFSI ZA UKOMOAJI
 
Samia hakubali misamaha ya kibwege. Ukimzingua, Mnazinguana
Sasa si bora jiwe alikua anaweza kusamehe bila hata kuombwa msamaha afu mijitu humu inamwita dikteta
 
Ngoja niwafungie mjadala kwa kusema kwamba: ccm haiwezi kuwa na kiongozi wa maana, unaamini huamini lakini huo ndio ukweli.

Muda halali wa ccm kukaa madarakani ulishapita kitambo na sasa wako madarakani kwa muda wa kukopa kwa sababu kila aliye madarakani kwa tiketi ya ccm anapigana kufa na kupona asipoteze dola, hana kazi nyingine tofauti na hiyo.
 

Ni miezi 9 tuu ishakua heri
 
I agree ni msikivu sana,
 
Japo samia amenishangaza kumnanga mtu wakati ameomba msamaha..
Lakini JIWE alikuwa shetani mwenye roho mbaya Sana.
 
Eti anaupenda Urais really?
Cheo kikubwa cha mwisho na neno lake linakuwa kama Amri halafu unasema anaupenda

Hivi baba anawezaje kuupenda ubaba nyumbani wakati ni majukumu yake kuwa mfalme hapo

Sasa mnataka kila analoambiwa ainamishe kichwa ama?
Sioni mantiki ya hii thread
 
NYUMBU
 
Watu wa sifa wameibuka wengi sana hasa jf, mama anasukumwa sana na mzazi mwenzie mstaafu na mswahili mwenzie
 
Huko kote mnazunguka tatizo ni uwezo.
 
Nanyie mnataka kuzidi inamaana ungekua wewe ungekubali kuvunjiwa heshima nmna hiyo mbele za watu
 
Kama anamuiga magu atafeli hajui Kama magu alikua akitembea na koromeo la simba au la!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…