Viatamizi vya BBT vya Unenepeshaji Mifugo ni hoi bin taabani. Raisi aliyetoa fedha anafichwa ukweli. Ngombe hawanenepeshwi ni vurugu tupu

huwezi kuita mradi wa serikali uhuni ndugu
kwani serikali ni nani...? mwenye serikali akiamua kuiita serikali yake uhuni kuna ubaya gani...?

yani kinyago ukichonge mwenyewe harafu kikutishe uo ni ujinga Pro...​
 
Hakuna ambacho kinafanyika nchi hii eti Rais asijue.

Yeye ni sehemu ya tatizo hilo ndo maana kapiga kimya kama hajui vile
 
Hakuna ambacho kinafanyika nchi hii eti Rais asijue.

Yeye ni sehemu ya tatizo hilo ndo maana kapiga kimya kama hajui vile
Sina uhakika kwa hilo. Tumeona anavyokuwa mkali hasa mteule wake anavyokwenda sivyo.
 
Bashe Born Town.
Au hamkuelewa abbreviation ?
 
Sina uhakika kwa hilo. Tumeona anavyokuwa mkali hasa mteule wake anavyokwenda sivyo.
Usivisingizie vyombo vyetu vinavyomsaidia Rais.

Hakuna kitu anafichwa, ukimya wake ni kuwa anajua raia hatujui kinachojiri, siku tukifahamu ndo anajifanya kukasitika na kuchukua hatua.

Si unaona kuhusu taarifa za CAG? Ulaji wote anajulishwa ndo maana hata CAG atune vipi hachukui hatua yoyote na hauna la kumfanya.

Upo hapo?
 
BY single click JamiiForums moderator ameuunganisha uzi wangu.

Siyo mbaya.
Naye nitamtabiria aje kuwa mbunge asijali
 
Serikali ikitia mkono tu kwenye biashara ya power tiller basi zitakuwa adimu hiyo ya 15M itakuwa 25M na bado ukimudu hiyo bei hazitapatikana.
Angalia baada ya kuleta mbolea ya ruzuku sasa hakuna kabisa mbolea.
 
Mama yenu uwezo wake ni mdogo yupoyupo tu hata hajui lolote...yeye ni kula kulala
 
Hakika mkuu, na hilo lilisemwa na wadau wengi sana hapa JF. Yaani hatuwezi piga hatua kamwe kwa haya mazingaombwe. Unaacha kuwajengea uwezo wakulima na wafugaji wazoefu wanaokosa tu mbinu za kisasa za kilimo na ufugaji, unaenda kufanya blabla na ujuaji mwingi.
 
Kama kawaida mama anakurupuka na kuingizwa mjini au kuingia kwa kupenda. Inaelekea anaamini sana ushauri toka wapigaji na maajenti wa ubeberu kama kina tonny blair na wale wamemchezesha cinema ya wanyama. Benki ya dunia na IFM ni maajenti wakubwa wa biashara za wamagharibi. WB itakukopesha tu ovyo mrafi wanajua utalipa kwa faida. Isitoshe utakopa kwa mradi unachagisha biashara zao tu sio kuchagisha maendeleo ya wanamchi wako na kuweza kujitegemea.
 
Kwa
Mfano kina nani hao?

Mama Samia mzazi wake yupi alikuwa kwenye "system"?

Majaliwa mzazi wake yupi alikuwa kwenye "system"?

Niongeze majina?
 
Shida ni yule wa ushungi pale juu!

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
 
Wazir wako anajiona ndo kila kitu na ujuaji tele! Aliahidi Mapinduzi ya Kilimo nchini!! Zero, Bei za Mbolea na Pembejeo azishikiki. Bra bra tu ndo zipo
Na Kiingereza chake cha ugoko;-"It is very danger....."[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
 
Wenye akili tulijua mapema sana kwamba BBT ni upigaji. Ikifanikiwa BBT nasimama pale mniite huhuhu!
 
Huyo Bibi yenu washamjua akili ndogo.
 
Mkuu, usiandikie mate na wino upo. Fika nilikotembelea ujionee. Narudia nia yangu ni njema kabisa. Pia naamini nia ya Raisi Mama yetu ilikuwa njema sana. Ila, ukweli usemwe.
kituo gani umefika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…