Viatamizi vya BBT vya Unenepeshaji Mifugo ni hoi bin taabani. Raisi aliyetoa fedha anafichwa ukweli. Ngombe hawanenepeshwi ni vurugu tupu

Mimi binafsi nimetembelea vituo kadhaa vya BBT kwa upande wa Unenepeshaji mifugo kwa lengo la kujifunza. Vikiwemo Kikulula- Karagwe,Mabuki- Mwanza nk. Nimegundua yafuatayo;

1. Vijana wengi waliochaguliwa kushiriki BBT wamekata tamaa . Walichoitiwa sicho walichokikuta. Wameongezewa muda wa kukaa zaidi makambini bila kushirikishwa.

2. Ngombe walitakiwa kunenepeshwa kwa batch 4 kwa mwaka, hadi mwaka unaishilia , hata batch ya kwanza haijamalizika kufika sokoni. Imeonekana ngombe wao hawana sifa za soko, hivyo hakuna mnunuzi wa uhakika.

3. Ngombe walionunuliwa kwa unenepeshaji, hawatunzwi kwa kanuni za ulishaji vyakula vya ziada. Wanachungwa kama wa wanavijiji . Wamekaa karibia mwaka na hawajabadilika uzito.

4. Nilichokigundua ni kama zoezi lilianza bila maandalizi ya kutosha. Nafikiri Kuna watu wanahitajika kuwajibika kwa udanganyifu huo.

5. Inasemekana, hata ile ahadi ya Raisi kumpa kila kijana mtaji wa kununua ngombe 10,anenepeshe kwa mzunguko wa miezi mitatu mitatu,faida iwe yake haipo tena. Hakuna utaratibu wala kumbukumbu za wazi . Vijana wameshaelekezwa wakakope Benki.

Nimeyaeleza haya kwa lengo la kujenga. Vijana hawa ni Taifa la kesho. Tunapowapa ahadi kwa lengo la kuwaandalia ajira ni vyema tutimize yaliyokubaliwa.

Je, Mh. Raisi na Mama yetu, ndivyo hivi alivyotaka? Au kuna watu wanataka kumuangusha au kumchonganisha na vijana wetu?
Hakuna ambacho kinafanyika nchi hii eti Rais asijue.

Yeye ni sehemu ya tatizo hilo ndo maana kapiga kimya kama hajui vile
 
Sina uhakika kwa hilo. Tumeona anavyokuwa mkali hasa mteule wake anavyokwenda sivyo.
 
Bashe Born Town.
Au hamkuelewa abbreviation ?
 
Sina uhakika kwa hilo. Tumeona anavyokuwa mkali hasa mteule wake anavyokwenda sivyo.
Usivisingizie vyombo vyetu vinavyomsaidia Rais.

Hakuna kitu anafichwa, ukimya wake ni kuwa anajua raia hatujui kinachojiri, siku tukifahamu ndo anajifanya kukasitika na kuchukua hatua.

Si unaona kuhusu taarifa za CAG? Ulaji wote anajulishwa ndo maana hata CAG atune vipi hachukui hatua yoyote na hauna la kumfanya.

Upo hapo?
 
BY single click JamiiForums moderator ameuunganisha uzi wangu.

Siyo mbaya.
Naye nitamtabiria aje kuwa mbunge asijali
 
Vijana wenyewe asaivi tabu tupu. Hata wale maafisa ugani hawakai kwenye kata wanazopangiwa. Wanakaa mijini tu. Unategemea kuna kijana anaeweza kulisha ng'ombe...!!

Kitu cha msingi kwa sasa serkali iboreshe na iwekeze zaidi kwenye nyezo za kilimo. Vifaa vije kwa wingi, vijana na wananchi waelimishwe, ikiwezekena wakopeshwe bila ya riba.

Nyezo za kisasa zinamfanya mkulima avutiwe na kazi ya kilimo. Lakini kwa upuuzi unaoendelea asaivi, hata powerttiler mkulima anauziwa 15milioni.wakati bei ya kiwandani ni milion 6 au 7. serkali ipo tu.
Serikali ikitia mkono tu kwenye biashara ya power tiller basi zitakuwa adimu hiyo ya 15M itakuwa 25M na bado ukimudu hiyo bei hazitapatikana.
Angalia baada ya kuleta mbolea ya ruzuku sasa hakuna kabisa mbolea.
 
Mimi binafsi nimetembelea vituo kadhaa vya BBT kwa upande wa Unenepeshaji mifugo kwa lengo la kujifunza. Vikiwemo Kikulula- Karagwe,Mabuki- Mwanza nk. Nimegundua yafuatayo;

1. Vijana wengi waliochaguliwa kushiriki BBT wamekata tamaa . Walichoitiwa sicho walichokikuta. Wameongezewa muda wa kukaa zaidi makambini bila kushirikishwa.

2. Ngombe walitakiwa kunenepeshwa kwa batch 4 kwa mwaka, hadi mwaka unaishilia , hata batch ya kwanza haijamalizika kufika sokoni. Imeonekana ngombe wao hawana sifa za soko, hivyo hakuna mnunuzi wa uhakika.

3. Ngombe walionunuliwa kwa unenepeshaji, hawatunzwi kwa kanuni za ulishaji vyakula vya ziada. Wanachungwa kama wa wanavijiji . Wamekaa karibia mwaka na hawajabadilika uzito.

4. Nilichokigundua ni kama zoezi lilianza bila maandalizi ya kutosha. Nafikiri Kuna watu wanahitajika kuwajibika kwa udanganyifu huo.

5. Inasemekana, hata ile ahadi ya Raisi kumpa kila kijana mtaji wa kununua ngombe 10,anenepeshe kwa mzunguko wa miezi mitatu mitatu,faida iwe yake haipo tena. Hakuna utaratibu wala kumbukumbu za wazi . Vijana wameshaelekezwa wakakope Benki.

Nimeyaeleza haya kwa lengo la kujenga. Vijana hawa ni Taifa la kesho. Tunapowapa ahadi kwa lengo la kuwaandalia ajira ni vyema tutimize yaliyokubaliwa.

Je, Mh. Raisi na Mama yetu, ndivyo hivi alivyotaka? Au kuna watu wanataka kumuangusha au kumchonganisha na vijana wetu?
Mama yenu uwezo wake ni mdogo yupoyupo tu hata hajui lolote...yeye ni kula kulala
 
Nadhani Bashe angewapa homework watu wa vituo hivi, moja wapo ni jamii jirani, Mabuki, hapo hapo jirani Kuna wafugaji, lakini. vituo hivi ni kama havihusiki nao, walau wachukue wafugaji kadhaa, washirikiane nao kuonyesha ufugaji Bora, wanakijiji watajifunza kwa wenzao.

Kuna kule Maruku, kituo kimezungukwa na wananchi wenye kahawa na migomba iliyokata tamaa, halafu na wananchi wamezungukwa na kikosi Cha wataalamu wa mambo hayohayo.

Kwa nini wasichague wakulima kadhaa, wakawa wa mfano, na wakulima hao wakawa kichocheo kwa wenzao?

Hawa vijana wanaopewa hizo Kambi bado hawajatulia kisaikolojia, wangetafuta wale walioanza kujitafuta, hao wanajihisi bado wako darasani na serikali inawalea, hawana idea ya kilimo biashara
Hakika mkuu, na hilo lilisemwa na wadau wengi sana hapa JF. Yaani hatuwezi piga hatua kamwe kwa haya mazingaombwe. Unaacha kuwajengea uwezo wakulima na wafugaji wazoefu wanaokosa tu mbinu za kisasa za kilimo na ufugaji, unaenda kufanya blabla na ujuaji mwingi.
 
Mimi binafsi nimetembelea vituo kadhaa vya BBT kwa upande wa Unenepeshaji mifugo kwa lengo la kujifunza. Vikiwemo Kikulula- Karagwe,Mabuki- Mwanza nk. Nimegundua yafuatayo;

1. Vijana wengi waliochaguliwa kushiriki BBT wamekata tamaa . Walichoitiwa sicho walichokikuta. Wameongezewa muda wa kukaa zaidi makambini bila kushirikishwa.

2. Ngombe walitakiwa kunenepeshwa kwa batch 4 kwa mwaka, hadi mwaka unaishilia , hata batch ya kwanza haijamalizika kufika sokoni. Imeonekana ngombe wao hawana sifa za soko, hivyo hakuna mnunuzi wa uhakika.

3. Ngombe walionunuliwa kwa unenepeshaji, hawatunzwi kwa kanuni za ulishaji vyakula vya ziada. Wanachungwa kama wa wanavijiji . Wamekaa karibia mwaka na hawajabadilika uzito.

4. Nilichokigundua ni kama zoezi lilianza bila maandalizi ya kutosha. Nafikiri Kuna watu wanahitajika kuwajibika kwa udanganyifu huo.

5. Inasemekana, hata ile ahadi ya Raisi kumpa kila kijana mtaji wa kununua ngombe 10,anenepeshe kwa mzunguko wa miezi mitatu mitatu,faida iwe yake haipo tena. Hakuna utaratibu wala kumbukumbu za wazi . Vijana wameshaelekezwa wakakope Benki.

Nimeyaeleza haya kwa lengo la kujenga. Vijana hawa ni Taifa la kesho. Tunapowapa ahadi kwa lengo la kuwaandalia ajira ni vyema tutimize yaliyokubaliwa.

Je, Mh. Raisi na Mama yetu, ndivyo hivi alivyotaka? Au kuna watu wanataka kumuangusha au kumchonganisha na vijana wetu?
Kama kawaida mama anakurupuka na kuingizwa mjini au kuingia kwa kupenda. Inaelekea anaamini sana ushauri toka wapigaji na maajenti wa ubeberu kama kina tonny blair na wale wamemchezesha cinema ya wanyama. Benki ya dunia na IFM ni maajenti wakubwa wa biashara za wamagharibi. WB itakukopesha tu ovyo mrafi wanajua utalipa kwa faida. Isitoshe utakopa kwa mradi unachagisha biashara zao tu sio kuchagisha maendeleo ya wanamchi wako na kuweza kujitegemea.
 
Kwa
Miradi mingi ya Serikali huwa inakufa kwa kukosa usimamizi ama wizi.

Angalia BRT magari mengi unakuta yamepaki kwa kukosa spare wakati mwingine ya laki 3

Hii Nchi haitapiga hatua kama tutaendelea kuongozwa na watu hao hao na Vizazi hivyo hivyo kisa Wazee wao walishaingia kwenye System
Mfano kina nani hao?

Mama Samia mzazi wake yupi alikuwa kwenye "system"?

Majaliwa mzazi wake yupi alikuwa kwenye "system"?

Niongeze majina?
 
Ipo hivi- Kuna Kampuni Bobezi kwenye Maswala ya Kilimo na Uvuvi. Walikuja Hapa Nchini na Kupresent Hii miradi ya BBT kwa Wazir wa Kilimo na pia Kwa Waziri wa Mifugo. Hii Kampuni ina formula za chakula cha mifugo(wakiwemo hao ngombe na pia walikuja na mradi wa Kuifanya Tanzania iwe na ngombe wake wenye kunenepeana kwa wakati na wastamilivu wa Magonjwa etc. Kwenye Kilimo walikuja na proposal ya kuifanya Tanzania kuwa No.1 Kwenye kilimo na kuleta ajira za kudumu zaidi ya 2 M kwenye sekta ya Kilimo. Walikuwa pia na Financial Proposal kwenye kilimo na Mifugo BBT.Kilichotokea ni Mawaziri husika kugeuka kuwa Ntu wa Dili na kujimwambafai kuwa Wao kama Mawaziri watafanya wenyewe na miradi hiyo itakuwa 100% successfully na watapiga hela ya kufa mtu. Ni kweli Wamepiga pesa ndefuu tuuu(ata Bungeni hii imewai lalamikiwa) na Ile kampuni mbali na kutolea nje ya Mradi- pia wamepigwa hela ndefu tu na Wajanja toka Wizara husika!! Kwa Sisi tulioonana na hii kampuni na inavyo fanya miradi hii sehemu zingine Duniani na haya madudu yanayofanywa na hizi wiazara zetu 2 ya kilimo na Uvuvi ni Usanii .Na ukweli akuna BBT itakayofanikiwa kwani hichi kinachofanywa sasa ni Usanii na it was not the one proposed na Wanaotakiwa fanya huu mradi awajausishwa ....... hii ina fanana na ile hadithi ya yule mchawi mkubwa .....aliachiwa just few pages za Project summary pale ofisini kwake Dodoma !Akajiona atashangaza Dunia ya Wadanganyika kuwa ni Waziri mwenye maono na mchapa kazi!![emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Zote Mbili BBT zimebuma!!! Iwapo Serikali inataka BBT ya Kweli na Kuleta Mapinduzi kwenye Kilimo!!! Wizara ya kilimo/Mifugo iwarudie walioleta proposal day one za BBT, vinginevyo ni Ujanja Ujanja tu akuna Atakaetoboa kwenye Current BBT programs hapa nchini tusijidanganye
Shida ni yule wa ushungi pale juu!

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
 
Wazir wako anajiona ndo kila kitu na ujuaji tele! Aliahidi Mapinduzi ya Kilimo nchini!! Zero, Bei za Mbolea na Pembejeo azishikiki. Bra bra tu ndo zipo
Na Kiingereza chake cha ugoko;-"It is very danger....."[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
 
Wenye akili tulijua mapema sana kwamba BBT ni upigaji. Ikifanikiwa BBT nasimama pale mniite huhuhu!
 
Mimi binafsi nimetembelea vituo kadhaa vya BBT kwa upande wa Unenepeshaji mifugo kwa lengo la kujifunza. Vikiwemo Kikulula- Karagwe,Mabuki- Mwanza nk. Nimegundua yafuatayo;

1. Vijana wengi waliochaguliwa kushiriki BBT wamekata tamaa . Walichoitiwa sicho walichokikuta. Wameongezewa muda wa kukaa zaidi makambini bila kushirikishwa.

2. Ngombe walitakiwa kunenepeshwa kwa batch 4 kwa mwaka, hadi mwaka unaishilia , hata batch ya kwanza haijamalizika kufika sokoni. Imeonekana ngombe wao hawana sifa za soko, hivyo hakuna mnunuzi wa uhakika.

3. Ngombe walionunuliwa kwa unenepeshaji, hawatunzwi kwa kanuni za ulishaji vyakula vya ziada. Wanachungwa kama wa wanavijiji . Wamekaa karibia mwaka na hawajabadilika uzito.

4. Nilichokigundua ni kama zoezi lilianza bila maandalizi ya kutosha. Nafikiri Kuna watu wanahitajika kuwajibika kwa udanganyifu huo.

5. Inasemekana, hata ile ahadi ya Raisi kumpa kila kijana mtaji wa kununua ngombe 10,anenepeshe kwa mzunguko wa miezi mitatu mitatu,faida iwe yake haipo tena. Hakuna utaratibu wala kumbukumbu za wazi . Vijana wameshaelekezwa wakakope Benki.

Nimeyaeleza haya kwa lengo la kujenga. Vijana hawa ni Taifa la kesho. Tunapowapa ahadi kwa lengo la kuwaandalia ajira ni vyema tutimize yaliyokubaliwa.

Je, Mh. Raisi na Mama yetu, ndivyo hivi alivyotaka? Au kuna watu wanataka kumuangusha au kumchonganisha na vijana wetu?
Huyo Bibi yenu washamjua akili ndogo.
 
Mkuu, usiandikie mate na wino upo. Fika nilikotembelea ujionee. Narudia nia yangu ni njema kabisa. Pia naamini nia ya Raisi Mama yetu ilikuwa njema sana. Ila, ukweli usemwe.
kituo gani umefika
 
Back
Top Bottom