Viatamizi vya BBT vya Unenepeshaji Mifugo ni hoi bin taabani. Raisi aliyetoa fedha anafichwa ukweli. Ngombe hawanenepeshwi ni vurugu tupu

Tokea mwanzo tulishasema kuwa huo ni utapeli.

Wanaopaswa kuendelezwa ni wakulima halisi waliopo vijijini sio hao graduates ambao hawana abc za kilimo.

Punguzeni uhuni uhuni na kufuja pesa za watanzania .
 
Mama yenu uwezo wake ni mdogo yupoyupo tu hata hajui lolote...yeye ni kula kulala
Siku zote hua naamini ni watanzania wachache sana ambao ni extra ordinary ni wachache mno.

Wengi ni good doers, Yani mpe step za kufanya yeye afanye. Lakini sio kua on top awe ana lead the way na ku define the future.

Kwa sababu kuu hua hawapendi kupambana na mambo magumu. Kwa namna yeyote wanaishi wakiwa wanakwepa njia ngumu/nyakati ngumu.

Nimeskia skuiz hata kuzaa kawaida wengi wao hawataki. Wanataka kupasuliwa.

Hawa watu hawa. Waendelee kutuoikia na kutulelea watoto. Maswala ya uongozi watuachie
 
Je, Mh. Raisi na Mama yetu, ndivyo hivi alivyotaka? Au kuna watu wanataka kumuangusha au kumchonganisha na vijana wetu?
Una uhakika haya ni maono ya rais mwenyewe na sio ya wizara; ambapo rais alishirikishwa na akaona inafaa?

Kwa nini kila jambo ionekane ni maono ya rais?
 
Una uhakika haya ni maono ya rais mwenyewe na sio ya wizara; ambapo rais alishirikishwa na akaona inafaa?

Kwa nini kila jambo ionekane ni maono ya rais?
Una hoja nzuri.
 
Kwa Mfano kina nani hao?

Mama Samia mzazi wake yupi alikuwa kwenye "system"?

Majaliwa mzazi wake yupi alikuwa kwenye "system"?

Niongeze majina?
Baada ya kuingia kwenye System unadhani watatolewa?

Kwani huyo Mama unadhani Wazazi wake hawapo kwenye System, au ungependa tutaje vyeo walivyowahi kuvishika?
 
Baada ya kuingia kwenye System unadhani watatolewa?

Kwani huyo Mama unadhani Wazazi wake hawapo kwenye System, au ungependa tutaje vyeo walivyowahi kuvishika?
Unatishia badala ya kutaja,yeye si kataka mtaje!!
 
Kiufupi ilitakiwa Kila mtu binafsi ndio apewe incentives Kwa kuanzisha Ufugaji wa Kisasa na hizo incentives ziwe ni pesa na mambo Kama hayo.

Hii ya kukusanya watu ambao ni majobless na walikuwa huko wakijua Kuna pesa sijui walifanya wapi pilot study wakaona inafaa.

Kwa nature ya Mtanzania it won't work.

Ushauri Serikali endeleeni na miradi ya BBT ila Kwa level ya individuals then watakuwa kwenye ushirika ndiko muwasaidie kutatua zile Changamoto ambazo wao watazibainisha badala y kukusanya watu kwenye makambi,it won't work na Bora huo mradi wa kuwakusanya ufanyike JKT huko.
 
Mkuu umenena vyema sana,miradi hii uwanufaisha watumishi tu nasio walengwa.Umetoa mfano wa Maruku pale TARI,LZARD NA TACRI yaani wananchi awana faida kabisa na uwepo wa hivyo vituo. Kuna kashfa hipo pale Maruku bado naendelea kuichunguza nitaileta
 
Kilimo na ufugaji ni sayansi. Lakini wana siasa wameamua kukifanyia siasa. Hawatakaa wafanikiwe. Sana sana ni wizi tuu
 
Hizi pesa zingepelekwa kwenye ruzuku ya wakulima zingeleta tija zaidi kuliko kuzipoteza kwenye kilimo cha maigizo.
 
Viongozi wa bongo wengi wao ni wapigaji wakubwa
 
Cc Lucas mwashambwa
 
Badala wasaidie vijana waliosoma maswala ya mifugo na nyanda za malisho wao wanaenda kukusanya form 4 failures! Bure kabisa. Hizi pesa walitakiwa wanape graduate wa SUA ambao hawana ajira waanze kutekeleza kile walichojifunza! Juzi kati jamaa mmoja anakuja kwangu anatafuta makapi ya pamba, kumwuliza ya nini anasema anataka kununua kwa ajili ya miradi ya bbt! Nikabaki mdomo wazi, yaani ng'ombe wa miradi wanalishwa kama wa mnenepeshaji wa Kisukuma?
 
UPDATES: Taarifa nilizozipata hivi karibuni ni kuwa Baadhi ya vituo vya BBT- Viatamizi vimepata hasara kubwa. Hii ni Baada ya kuuza ngombe walionenepeshwa karibia mwaka sasa. Swali ni je, hivi viatamizi vya mifugo vina tija iliyokusudiwa na Raisi Mama yetu Samia? Je, anayo hii habari?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…