Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siku zote hua naamini ni watanzania wachache sana ambao ni extra ordinary ni wachache mno.Mama yenu uwezo wake ni mdogo yupoyupo tu hata hajui lolote...yeye ni kula kulala
Una uhakika haya ni maono ya rais mwenyewe na sio ya wizara; ambapo rais alishirikishwa na akaona inafaa?Je, Mh. Raisi na Mama yetu, ndivyo hivi alivyotaka? Au kuna watu wanataka kumuangusha au kumchonganisha na vijana wetu?
Baada ya kuingia kwenye System unadhani watatolewa?Kwa Mfano kina nani hao?
Mama Samia mzazi wake yupi alikuwa kwenye "system"?
Majaliwa mzazi wake yupi alikuwa kwenye "system"?
Niongeze majina?
Unatishia badala ya kutaja,yeye si kataka mtaje!!Baada ya kuingia kwenye System unadhani watatolewa?
Kwani huyo Mama unadhani Wazazi wake hawapo kwenye System, au ungependa tutaje vyeo walivyowahi kuvishika?
Kiufupi ilitakiwa Kila mtu binafsi ndio apewe incentives Kwa kuanzisha Ufugaji wa Kisasa na hizo incentives ziwe ni pesa na mambo Kama hayo.Mimi binafsi nimetembelea vituo kadhaa vya BBT kwa upande wa Unenepeshaji mifugo kwa lengo la kujifunza. Vikiwemo Kikulula- Karagwe,Mabuki- Mwanza nk. Nimegundua yafuatayo;
1. Vijana wengi waliochaguliwa kushiriki BBT wamekata tamaa . Walichoitiwa sicho walichokikuta. Wameongezewa muda wa kukaa zaidi makambini bila kushirikishwa.
2. Ngombe walitakiwa kunenepeshwa kwa batch 4 kwa mwaka, hadi mwaka unaishilia , hata batch ya kwanza haijamalizika kufika sokoni. Imeonekana ngombe wao hawana sifa za soko, hivyo hakuna mnunuzi wa uhakika.
3. Ngombe walionunuliwa kwa unenepeshaji, hawatunzwi kwa kanuni za ulishaji vyakula vya ziada. Wanachungwa kama wa wanavijiji . Wamekaa karibia mwaka na hawajabadilika uzito.
4. Nilichokigundua ni kama zoezi lilianza bila maandalizi ya kutosha. Nafikiri Kuna watu wanahitajika kuwajibika kwa udanganyifu huo.
5. Inasemekana, hata ile ahadi ya Raisi kumpa kila kijana mtaji wa kununua ngombe 10,anenepeshe kwa mzunguko wa miezi mitatu mitatu,faida iwe yake haipo tena. Hakuna utaratibu wala kumbukumbu za wazi . Vijana wameshaelekezwa wakakope Benki.
Nimeyaeleza haya kwa lengo la kujenga. Vijana hawa ni Taifa la kesho. Tunapowapa ahadi kwa lengo la kuwaandalia ajira ni vyema tutimize yaliyokubaliwa.
Je, Mh. Raisi na Mama yetu, ndivyo hivi alivyotaka? Au kuna watu wanataka kumuangusha au kumchonganisha na vijana wetu?
Mkuu umenena vyema sana,miradi hii uwanufaisha watumishi tu nasio walengwa.Umetoa mfano wa Maruku pale TARI,LZARD NA TACRI yaani wananchi awana faida kabisa na uwepo wa hivyo vituo. Kuna kashfa hipo pale Maruku bado naendelea kuichunguza nitailetaNadhani Bashe angewapa homework watu wa vituo hivi, moja wapo ni jamii jirani, Mabuki, hapo hapo jirani Kuna wafugaji, lakini vituo hivi ni kama havihusiki nao, walau wachukue wafugaji kadhaa, washirikiane nao kuonyesha ufugaji Bora, wanakijiji watajifunza kwa wenzao.
Kuna kule Maruku, kituo kimezungukwa na wananchi wenye kahawa na migomba iliyokata tamaa, halafu na wananchi wamezungukwa na kikosi Cha wataalamu wa mambo hayohayo.
Kwa nini wasichague wakulima kadhaa, wakawa wa mfano, na wakulima hao wakawa kichocheo kwa wenzao?
Hawa vijana wanaopewa hizo Kambi bado hawajatulia kisaikolojia, wangetafuta wale walioanza kujitafuta, hao wanajihisi bado wako darasani na serikali inawalea, hawana idea ya kilimo biashara
Kilimo na ufugaji ni sayansi. Lakini wana siasa wameamua kukifanyia siasa. Hawatakaa wafanikiwe. Sana sana ni wizi tuuMimi binafsi nimetembelea vituo kadhaa vya BBT kwa upande wa Unenepeshaji mifugo kwa lengo la kujifunza. Vikiwemo Kikulula- Karagwe,Mabuki- Mwanza nk. Nimegundua yafuatayo;
1. Vijana wengi waliochaguliwa kushiriki BBT wamekata tamaa . Walichoitiwa sicho walichokikuta. Wameongezewa muda wa kukaa zaidi makambini bila kushirikishwa.
2. Ngombe walitakiwa kunenepeshwa kwa batch 4 kwa mwaka, hadi mwaka unaishilia , hata batch ya kwanza haijamalizika kufika sokoni. Imeonekana ngombe wao hawana sifa za soko, hivyo hakuna mnunuzi wa uhakika.
3. Ngombe walionunuliwa kwa unenepeshaji, hawatunzwi kwa kanuni za ulishaji vyakula vya ziada. Wanachungwa kama wa wanavijiji . Wamekaa karibia mwaka na hawajabadilika uzito.
4. Nilichokigundua ni kama zoezi lilianza bila maandalizi ya kutosha. Nafikiri Kuna watu wanahitajika kuwajibika kwa udanganyifu huo.
5. Inasemekana, hata ile ahadi ya Raisi kumpa kila kijana mtaji wa kununua ngombe 10,anenepeshe kwa mzunguko wa miezi mitatu mitatu,faida iwe yake haipo tena. Hakuna utaratibu wala kumbukumbu za wazi . Vijana wameshaelekezwa wakakope Benki.
Nimeyaeleza haya kwa lengo la kujenga. Vijana hawa ni Taifa la kesho. Tunapowapa ahadi kwa lengo la kuwaandalia ajira ni vyema tutimize yaliyokubaliwa.
Je, Mh. Raisi na Mama yetu, ndivyo hivi alivyotaka? Au kuna watu wanataka kumuangusha au kumchonganisha na vijana wetu?
Huo mtego sitaki kuuingia MkuuUnatishia badala ya kutaja,yeye si kataka mtaje!!
Viongozi wa bongo wengi wao ni wapigaji wakubwaMimi binafsi nimetembelea vituo kadhaa vya BBT kwa upande wa Unenepeshaji mifugo kwa lengo la kujifunza. Vikiwemo Kikulula- Karagwe,Mabuki- Mwanza nk. Nimegundua yafuatayo;
1. Vijana wengi waliochaguliwa kushiriki BBT wamekata tamaa . Walichoitiwa sicho walichokikuta. Wameongezewa muda wa kukaa zaidi makambini bila kushirikishwa.
2. Ngombe walitakiwa kunenepeshwa kwa batch 4 kwa mwaka, hadi mwaka unaishilia , hata batch ya kwanza haijamalizika kufika sokoni. Imeonekana ngombe wao hawana sifa za soko, hivyo hakuna mnunuzi wa uhakika.
3. Ngombe walionunuliwa kwa unenepeshaji, hawatunzwi kwa kanuni za ulishaji vyakula vya ziada. Wanachungwa kama wa wanavijiji . Wamekaa karibia mwaka na hawajabadilika uzito.
4. Nilichokigundua ni kama zoezi lilianza bila maandalizi ya kutosha. Nafikiri Kuna watu wanahitajika kuwajibika kwa udanganyifu huo.
5. Inasemekana, hata ile ahadi ya Raisi kumpa kila kijana mtaji wa kununua ngombe 10,anenepeshe kwa mzunguko wa miezi mitatu mitatu,faida iwe yake haipo tena. Hakuna utaratibu wala kumbukumbu za wazi . Vijana wameshaelekezwa wakakope Benki.
Nimeyaeleza haya kwa lengo la kujenga. Vijana hawa ni Taifa la kesho. Tunapowapa ahadi kwa lengo la kuwaandalia ajira ni vyema tutimize yaliyokubaliwa.
Je, Mh. Raisi na Mama yetu, ndivyo hivi alivyotaka? Au kuna watu wanataka kumuangusha au kumchonganisha na vijana wetu?
Cc Lucas mwashambwaMiradi mingi ya Serikali huwa inakufa kwa kukosa usimamizi ama wizi.
Angalia BRT magari mengi unakuta yamepaki kwa kukosa spare wakati mwingine ya laki 3
Hii Nchi haitapiga hatua kama tutaendelea kuongozwa na watu hao hao na Vizazi hivyo hivyo kisa Wazee wao walishaingia kwenye System
UPDATES: Taarifa nilizozipata hivi karibuni ni kuwa Baadhi ya vituo vya BBT- Viatamizi vimepata hasara kubwa. Hii ni Baada ya kuuza ngombe walionenepeshwa karibia mwaka sasa. Swali ni je, hivi viatamizi vya mifugo vina tija iliyokusudiwa na Raisi Mama yetu Samia? Je, anayo hii habari?Mimi binafsi nimetembelea vituo kadhaa vya BBT kwa upande wa Unenepeshaji mifugo kwa lengo la kujifunza. Vikiwemo Kikulula- Karagwe,Mabuki- Mwanza nk. Nimegundua yafuatayo;
1. Vijana wengi waliochaguliwa kushiriki BBT wamekata tamaa . Walichoitiwa sicho walichokikuta. Wameongezewa muda wa kukaa zaidi makambini bila kushirikishwa.
2. Ngombe walitakiwa kunenepeshwa kwa batch 4 kwa mwaka, hadi mwaka unaishilia , hata batch ya kwanza haijamalizika kufika sokoni. Imeonekana ngombe wao hawana sifa za soko, hivyo hakuna mnunuzi wa uhakika.
3. Ngombe walionunuliwa kwa unenepeshaji, hawatunzwi kwa kanuni za ulishaji vyakula vya ziada. Wanachungwa kama wa wanavijiji . Wamekaa karibia mwaka na hawajabadilika uzito.
4. Nilichokigundua ni kama zoezi lilianza bila maandalizi ya kutosha. Nafikiri Kuna watu wanahitajika kuwajibika kwa udanganyifu huo.
5. Inasemekana, hata ile ahadi ya Raisi kumpa kila kijana mtaji wa kununua ngombe 10,anenepeshe kwa mzunguko wa miezi mitatu mitatu,faida iwe yake haipo tena. Hakuna utaratibu wala kumbukumbu za wazi . Vijana wameshaelekezwa wakakope Benki.
Nimeyaeleza haya kwa lengo la kujenga. Vijana hawa ni Taifa la kesho. Tunapowapa ahadi kwa lengo la kuwaandalia ajira ni vyema tutimize yaliyokubaliwa.
Je, Mh. Raisi na Mama yetu, ndivyo hivi alivyotaka? Au kuna watu wanataka kumuangusha au kumchonganisha na vijana wetu?
😁😁😆😂🤣 Kilimo cha kwenye WhatsApp mbavu zangu miee..Haha...Huo ni mradi wa wanasiasa wachache. Bashe alikua analeta kilimo cha matikiti cha kwenye tablet/whatsapp