Kibanga Ampiga Mkoloni
JF-Expert Member
- Aug 9, 2007
- 18,772
- 8,939
Binafsi nimependa sana alivyoianza safari yake tangu aapishwe. pia nadhani tumpe siku 100 tangu kuapishwa ili tuone hatua gani atakua ameipiga kwa kuhusianisha na tulipotoka,alipoachiwa kijiti na JPM na safari yetu ijayo yeye akiwa nahodha kwenye jahazi hili..
Sijaipenda.
Unampa vipi siku 100 na ameanza mawaziri, makatibu wakuu, wakuu wa wilaya, wakuu wamikoa walewale wa maliyamungu.