Binafsi nimependa sana alivyoianza safari yake tangu aapishwe. pia nadhani tumpe siku 100 tangu kuapishwa ili tuone hatua gani atakua ameipiga kwa kuhusianisha na tulipotoka,alipoachiwa kijiti na JPM na safari yetu ijayo yeye akiwa nahodha kwenye jahazi hili..