inahu!..........hivi huyu si alioaga huku bongo b4 hajaenda uk?...
Alizaa tu....!hivi huyu si alioaga huku bongo b4 hajaenda uk?...
alioa bhana aliwahi kusema alipohojiwa na kipindi cha mkasiAlizaa tu....!
Kweli....!?alioa bhana aliwahi kusema alipohojiwa na kipindi cha mkasi
HAHAHAHAHAKwa hiyo wifi hatakula tena kiti moto! Atavaa hijab, mapenzi hayana mwenyewe kweli.
Hahahaha hapana wewe ni housegirl wa Salim Kikeke, mimi ndo dada mtu... kubali plsssslol nyumba ndogo toka lini ikasifia mke? mie Dada Mtu , nimemkubali sana brother.
Ila angekuwa kaoa mswahili na wanakaa huku babymeatno (mwananyamala) angechukua hiyo long leave ya kumspoil baby (sijui yupi kati ya mkubwa na kichanga?)? Ifikie wanaume wasisubiri waamie majuu ndio wawe wababa na waume wazuri. Hata mke mswahili anahitaji walau kusaidiwa kama kuspoil ni ngumu. Mwanaume mmepata mtoto unaenda kusherekea bar na washkaji, ukitoka unachukua barmaid kwavile mkeo hawezi kwa kipindi hicho. housegirl una haki ya kufikiria interracial marriage.waache wandelee kuwaza nyumba ndogo wakati mwenzao kachukua long leave amSpoil mke. ingekuwa mwingine ndo mwanzo wa kutoshinda nyumbani.
...kaoshe papa kwanza basi ndio uje uendelee na huu ulimbukeni!Wanaume wa kiafrika mizigo!
Aoshe na kija....mbio kabisa utadhani babayake mzungu!!!?...kaoshe papa kwanza basi ndio uje uendelee na huu ulimbukeni!
Mara ya kwanza nlikuona uko vizuri kichwani ila hapa ndo umechafua kabisa...hamna kitu..dash yaan...mnatamani vya wenzenu ndo maana mnaishia kumegwa na vizee umri sawa na babu zenuheeh, kuna watu waliotoka kwa Idd amin iwe mie....
hahaaa UNFORTUNATELY sijawahi kuguswa na muafrika. Salim angetaka kunigusa hata nisingewaza Mara mbili. ndo hivyo kashachukuliwa maskini
. najua wapo wengine ila wachache mnoooo. kisa cha kupigana vikumbo wakati wamejaa mabara mengine hahaa
hongera kwa kupendwa mwaya, we need happy people. lakini ndo hivyo kina Salim wanavutia MNOOOO...hata mkeo anamuota hahaaa
yani we Dada umenielewa hadi umepitiliza.Ila angekuwa kaoa mswahili na wanakaa huku babymeatno (mwananyamala) angechukua hiyo long leave ya kumspoil baby (sijui yupi kati ya mkubwa na kichanga?)? Ifikie wanaume wasisubiri waamie majuu ndio wawe wababa na waume wazuri. Hata mke mswahili anahitaji walau kusaidiwa kama kuspoil ni ngumu. Mwanaume mmepata mtoto unaenda kusherekea bar na washkaji, ukitoka unachukua barmaid kwavile mkeo hawezi kwa kipindi hicho. housegirl una haki ya kufikiria interracial marriage.
Kauli ya "kutaka" umeitoa wewe "wide minded"well how narrow minded of you.
kwahiyo mnataka mwanaume wanaoenda nchi zingine wasipende wanawake wa hiyo nchi au! EBO!