Vibaby vya Salim Kikeke

Vibaby vya Salim Kikeke

Lakini mbona vitoto vinazaliwa na weupe zaidi? Anyway, tuchukulie tu kuwa hajachakachuliwa
 
anatumia title ya BBC kwenye mambo yake binafsi, quite unprofessional, plus kasimamisha ipad juu ya vikombe badala ya kuinunulia stand, ushamba wa kiswahili swahili...
 
hivi huyu si alioaga huku bongo b4 hajaenda uk?...
 
waache wandelee kuwaza nyumba ndogo wakati mwenzao kachukua long leave amSpoil mke. ingekuwa mwingine ndo mwanzo wa kutoshinda nyumbani.
Ila angekuwa kaoa mswahili na wanakaa huku babymeatno (mwananyamala) angechukua hiyo long leave ya kumspoil baby (sijui yupi kati ya mkubwa na kichanga?)? Ifikie wanaume wasisubiri waamie majuu ndio wawe wababa na waume wazuri. Hata mke mswahili anahitaji walau kusaidiwa kama kuspoil ni ngumu. Mwanaume mmepata mtoto unaenda kusherekea bar na washkaji, ukitoka unachukua barmaid kwavile mkeo hawezi kwa kipindi hicho. housegirl una haki ya kufikiria interracial marriage.
 
heeh, kuna watu waliotoka kwa Idd amin iwe mie....

hahaaa UNFORTUNATELY sijawahi kuguswa na muafrika. Salim angetaka kunigusa hata nisingewaza Mara mbili. ndo hivyo kashachukuliwa maskini

. najua wapo wengine ila wachache mnoooo. kisa cha kupigana vikumbo wakati wamejaa mabara mengine hahaa

hongera kwa kupendwa mwaya, we need happy people. lakini ndo hivyo kina Salim wanavutia MNOOOO...hata mkeo anamuota hahaaa
Mara ya kwanza nlikuona uko vizuri kichwani ila hapa ndo umechafua kabisa...hamna kitu..dash yaan...mnatamani vya wenzenu ndo maana mnaishia kumegwa na vizee umri sawa na babu zenu
 
Ila angekuwa kaoa mswahili na wanakaa huku babymeatno (mwananyamala) angechukua hiyo long leave ya kumspoil baby (sijui yupi kati ya mkubwa na kichanga?)? Ifikie wanaume wasisubiri waamie majuu ndio wawe wababa na waume wazuri. Hata mke mswahili anahitaji walau kusaidiwa kama kuspoil ni ngumu. Mwanaume mmepata mtoto unaenda kusherekea bar na washkaji, ukitoka unachukua barmaid kwavile mkeo hawezi kwa kipindi hicho. housegirl una haki ya kufikiria interracial marriage.
yani we Dada umenielewa hadi umepitiliza.

watu wanaojifanya wameenda jando basi hawapaswi kushika mwiko ni MIZIGO. kutwa kuwaza michepuko tu hata hawajali wake zao. ovyo!
 
Ushasema "British" woman.. I didn't think of race in my early comment, so my answer is YES, i would!
well how narrow minded of you.

kwahiyo mnataka mwanaume wanaoenda nchi zingine wasipende wanawake wa hiyo nchi au! EBO!
 
Back
Top Bottom