kwanza sijaja kupima IQ hapa.Mara ya kwanza nlikuona uko vizuri kichwani ila hapa ndo umechafua kabisa...hamna kitu..dash yaan...mnatamani vya wenzenu ndo maana mnaishia kumegwa na vizee umri sawa na babu zenu
...kaoshe papa kwanza basi ndio uje uendelee na huu ulimbukeni!
Aoshe na kija....mbio kabisa utadhani babayake mzungu!!!?
Lakini mbona vitoto vinazaliwa na weupe zaidi?
Wewe ni mzungu?damu yetu kaliiiii
[emoji1] [emoji1] [emoji1]wewe si dume wewe? mwandiko gani huu!!
Kinyume chakesi ulikuwa na wasiwasi kwanini kababy sio keupe
hapo Kikeke ndio analea wanawake wa kizungu awana time na watotoWanaume wa kiafrika mizigo!
weeehh....hapo Kikeke ndio analea wanawake wa kizungu awana time na watoto
Nje ya mada, umeshawahi kuishi Ulaya au US/CANADA? Kuishi sio kupita.weeehh....
nachopendea wazungu they care a lot about mental health.
mtoto atapata mahugs na makisses kwa wingi. tena ka kiume katakuwa encouraged kulia na kusema ya moyoni. wako very understanding na changes za mtoto anayebalehe. sio huku mama akisikia binti ana ka crush katapewa maneno ya ajabu.....
baby Ioan bwana ana mama poa sana..
PLUS KIKEKE IS AN AWSOME DAD.... dad anayejua umuhimu wa kubond .
umemkubali shemejio. tamaa mbaya hiyolol nyumba ndogo toka lini ikasifia mke? mie Dada Mtu , nimemkubali sana brother.
Usidanganywe na maisha ya social mediamizigoooo tena ya....
wanaume wangapi wako kama Salim. kwanza Salim angebadilisha na nationality kabisa, anawapa sifa za bure AMBAZO HAWANA wanaume wa kiafrika
at least huyo anaeweza hata kupiga picha na familia yake akaiweka kwenye social medias...Usidanganywe na maisha ya social media
Alishawah kuoa mswahili labda tumuulize Rukia Mtingwa kama alikua spoiled hiv enzi zaoIla angekuwa kaoa mswahili na wanakaa huku babymeatno (mwananyamala) angechukua hiyo long leave ya kumspoil baby (sijui yupi kati ya mkubwa na kichanga?)? Ifikie wanaume wasisubiri waamie majuu ndio wawe wababa na waume wazuri. Hata mke mswahili anahitaji walau kusaidiwa kama kuspoil ni ngumu. Mwanaume mmepata mtoto unaenda kusherekea bar na washkaji, ukitoka unachukua barmaid kwavile mkeo hawezi kwa kipindi hicho. housegirl una haki ya kufikiria interracial marriage.