Vibaby vya Salim Kikeke

Vibaby vya Salim Kikeke

plus kasimamisha ipad juu ya vikombe badala ya kuinunulia stand, ushamba wa kiswahili swahili...
maybe the stand is broken.

maybe he wanted it at that height so couldn't use the stand.
 
Mara ya kwanza nlikuona uko vizuri kichwani ila hapa ndo umechafua kabisa...hamna kitu..dash yaan...mnatamani vya wenzenu ndo maana mnaishia kumegwa na vizee umri sawa na babu zenu
kwanza sijaja kupima IQ hapa.

pili sikujui, your opinions about me are insignificant. na kwa mwandiko kwako, me pia NIMEKUDHARAU.

tatu wivu unakusumbua. nimeanzisha thread kumsifia brother. DEAL WITH IT.
 
hapo Kikeke ndio analea wanawake wa kizungu awana time na watoto
weeehh....

nachopendea wazungu they care a lot about mental health.

mtoto atapata mahugs na makisses kwa wingi. tena ka kiume katakuwa encouraged kulia na kusema ya moyoni. wako very understanding na changes za mtoto anayebalehe. sio huku mama akisikia binti ana ka crush katapewa maneno ya ajabu.....

baby Ioan bwana ana mama poa sana..

PLUS KIKEKE IS AN AWSOME DAD.... dad anayejua umuhimu wa kubond .
 
Nje ya mada, umeshawahi kuishi Ulaya au US/CANADA? Kuishi sio kupita.
 
Ila angekuwa kaoa mswahili na wanakaa huku babymeatno (mwananyamala) angechukua hiyo long leave ya kumspoil baby (sijui yupi kati ya mkubwa na kichanga?)? Ifikie wanaume wasisubiri waamie majuu ndio wawe wababa na waume wazuri. Hata mke mswahili anahitaji walau kusaidiwa kama kuspoil ni ngumu. Mwanaume mmepata mtoto unaenda kusherekea bar na washkaji, ukitoka unachukua barmaid kwavile mkeo hawezi kwa kipindi hicho. housegirl una haki ya kufikiria interracial marriage.
Alishawah kuoa mswahili labda tumuulize Rukia Mtingwa kama alikua spoiled hiv enzi zao
 
Back
Top Bottom