Dr Emma John
JF-Expert Member
- May 9, 2013
- 820
- 195
Kamanda angalia Sifa
ulizozipata kwenye harakati zako ndani ya CDM huko kanda ya Ziwa hadi
kupewa jimbo la kalenga wakati wa kampeni zisije haribikia hapa JF. JF
sio sawa na Jukwaani ukishika MC basi wengine kimya kwa mwendo huu
nakupa miezi mitano.
wa kupuuzwa ni weweWewe ni wa kupuuzwa tu, unafanya usanii, huna dhamira ya kweli.
Wapuuzi kama wewe ndo hatuwataki, unawezaje kumkanusha mtu bila opposite facts?Wewe ni wa kupuuzwa tu, unafanya usanii, huna dhamira ya kweli.
Wapuuzi kama wewe ndo hatuwataki, unawezaje kumkanusha mtu bila opposite facts?
Lete facts zako za ku-support unachokisema otherwise you are also homostupid!
Uoga ni kitu kibaya sana maishani mdogo wangu... shida na taabu tunazokutana nazo maishani ni zaidi ya siasa za Jf...pole yakoKamanda angalia Sifa ulizozipata kwenye harakati zako ndani ya CDM huko kanda ya Ziwa hadi kupewa jimbo la kalenga wakati wa kampeni zisije haribikia hapa JF. JF sio sawa na Jukwaani ukishika MC basi wengine kimya kwa mwendo huu nakupa miezi mitano.
Ndoto kubwakubwa za wanasiasa na wanataaluma vijana zimeuawa na vihela vidogo vidogo visivyojaa hata bahasha ndogo.
Unaumizwa na na jinsiKatika kundi hili la wanataaluma naumizwa zaidi na waandishi wa habari vijana ambao mchana kutwa utawaona wanavyopigwa vumbi na jua kwenye mabenchi ya ofisi za wakubwa kutafuta habari,ukweli ni kwamba hawatafuti habari bali vibahasha vya kaki vyenye elfu thelathini ili waandike sifa za uongo kwa mafisadi na walarushw hao.
Kumbe taarifa za ukweli ni zile tuu zilizoko vijijini?!, ndio maana wanaandika sifa za uongo?!, ila pia umetoa sababu za wao kutokwenda vijijiniTaarifa za ukweli ziko vijijini ambako kuna mateso ya kila aina,matukio ya kutisha ambayo wakiyaandika na kuyaripoti yatawakuza sana sana
Msingi halali wa bahasha za waandishi ni kuwezesha kutimiza makumu yao kikamilifu, na haswa logistics, mimi naziita hizi ni bahasha halali za uwezeshaji!, waandishi kama taaluma nyingine zote, wanabidi wawezeshwe ili watimize majukumu yao kikamilifu!.shida huko hakuna bahasha ukiwaita watakuuliza bahasha..bahasha...bahasha,ndiyo maana watazeekea kwenye mabenchi ya wakubwa.Hawako tayari kusota,kutembea kwa miguu,kulala na njaa ili wakue na kutimiza ndoto Zhao.
Kamanda Mawazo kwa nini usiwe na ukurasa wako kwenye magazeti au vipindi kwenye radio ili jamii inufaike kwa upana zaidi?
Ndoto kubwakubwa za wanasiasa na wanataaluma vijana zimeuawa na vihela vidogo vidogo visivyojaa hata bahasha ndogo.
Kwa wanasiasa vijana wameamua kutumikishwa na wakongwe wa siasa na kazi yao kubwa ni kutumwatumwa kama vijakazi ingawa wanapakwa mafuta kwa mgongo wa chupa na kuitwa majina mazuri mazuri ya uongo.
Kazi yao kubwa Hawa vijana ni kutengeneza fitina na kutukana waliotumwa kuwatukana,wamekuwa kama vijibwa vidogo vidogo vinavyoamuriwa mbwekee huyu au yule bila kuhoji kwa nini.
Utavikuta Dodoma wakati wa bunge utafikiri ni madreva au mautingo wa magari, hulala kwenye hotel cheap cheap huku vikiwinda mademu kwa ajili ya mabosi wao,vina akiri lakini vimeamua kuwa Vijinga,
Kundi la pili ni la wanataaluma,wanalipwa mishahara viduchi sana mwisho wa mwezi,vinabebeshwa mizigo mizito kama punda lakini wanauwezo wa kuanzisha biashara au kufungua ofisi zao kubwa maishani na kujenga taasisi kubwa duniani.
Kama ilivyo kwa punda awekewavyo karoti mbele yake na kuburuta mzigo mzito ili aifikie karoti na akiipata huitafuna yote bila kuacha akiba kisha huwekewa nyingine tena ndivyo ilivyo kwa waajiriwa hawa na vibahasha vya mwisho wa mwezi.
Katika kundi hili la wanataaluma naumizwa zaidi na waandishi wa habari vijana ambao mchana kutwa utawaona wanavyopigwa vumbi na jua kwenye mabenchi ya ofisi za wakubwa kutafuta habari,ukweli ni kwamba hawatafuti habari bali vibahasha vya kaki vyenye elfu thelathini ili waandike sifa za uongo kwa mafisadi na walarushw hao.
Taarifa za ukweli ziko vijijini ambako kuna mateso ya kila aina,matukio ya kutisha ambayo wakiyaandika na kuyaripoti yatawakuza sana sana,shida huko hakuna bahasha ukiwaita watakuuliza bahasha..bahasha...bahasha,ndiyo maana watazeekea kwenye mabenchi ya wakubwa.Hawako tayari kusota,kutembea kwa miguu,kulala na njaa ili wakue na kutimiza ndoto Zao.
Mkuu alphoce Mawazo, na mimi ngoja nikuite kama kaka unavyotambulika humu, hivyo kamanda Alphonse Mawazo, kwanza asante kwa bandiko lako hili!,
Kuhusu vijana kwenye uzi huu umezungumzia vitu vitatu vikuu,
Mimi nimeguswa pale tuu ulipowazungumzia vijana waandishi wa habari kwa sababu na mimi ni mwandishi wa habari na mwanzo pia nilikuwa kijana!.
- Ndoto
- Taaluma, professionalism
- Reality, (bahasha)
- What is vs what ought to be
Umeanza hivi
Jee ni kweli hawa waandishi vijana walikuwa na ndoto kubwa kubwa?!. Ndoto gani hizo zilizouwawa na vihela vidogo vidogo visivyojaa bahasha?!.
Unaumizwa na na jinsi
wanavyopigwa vumbi na jua kutafuta habari?,
wanavyoshinda kwenye mabenchi ya wakubwa bila kutafuta habari?,
wananavyotafuta vibahasha vya khaki vyenye elfu 30?
wanavyoandika sifa za uongo za mafisadi na wala rushwa hao?.
Kumbe taarifa za ukweli ni zile tuu zilizoko vijijini?!, ndio maana wanaandika sifa za uongo?!, ila pia umetoa sababu za wao kutokwenda vijijini
Msingi halali wa bahasha za waandishi ni kuwezesha kutimiza makumu yao kikamilifu, na haswa logistics, mimi naziita hizi ni bahasha halali za uwezeshaji!, waandishi kama taaluma nyingine zote, wanabidi wawezeshwe ili watimize majukumu yao kikamilifu!.
Asilimia 80 ya Watanzania wanaishi vijijini, hivyo ni kweli huko vijijini ndiko kwenye habari nyingi, ila pia ili kuzifikia habari hizo huko ni lazima waandishi wawezeshwe ki logistic ili wafike huko kijijini, hakuna sababu ya waandishi kusota, kutembea kwa miguu, kulala nje, kulala njaa, akifuata story kijijini!, kama hakuna logistic za kuwafikisha waandishi vijijini, then waacheni waandishi tubanane hapa hapa mjini!.
Kwa uelewa zaidi kuhusu Waandishi na bahasha, pitia hapa Waandishi wa Habari na Bahasha: Sio Kila Bahasha ni rushwa!
Pasco
Hivi we ni Dr kweli au mganga wa mitishamba? Sijaona alichoandika mpaka awe na ukurasa kwenye gazeti au kipindi cha Redio.
By the way unajua huyo Mawazo ana elimi gani? Tumia kichwa kufikiria siyo kufugia nywele.
Kamanda Mawazo kwa nini usiwe na ukurasa wako kwenye magazeti au vipindi kwenye radio ili jamii inufaike kwa upana zaidi?
God bless kamanda Mawazo