FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
Baada ya kusoma hoja ya mleta mada, majina manne yamenijia kichwani: Ben Saanane, Yericko Nyerere Mohamedi Mtoi na Pasco wa vibahasha.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asilimia 80 ya Watanzania wanaishi vijijini, hivyo ni kweli huko vijijini ndiko kwenye habari nyingi, ila pia ili kuzifikia habari hizo huko ni lazima waandishi wawezeshwe ki logistic ili wafike huko kijijini, hakuna sababu ya waandishi kusota, kutembea kwa miguu, kulala nje, kulala njaa, akifuata story kijijini!, kama hakuna logistic za kuwafikisha waandishi vijijini, then waacheni waandishi tubanane hapa hapa mjini!.
Pasco
Mkuu Gwailo, ndio maana kuna vyombo vya habari vya umma, paid by taxpayers money, hilo ndilo jukumu lake!, vyombo binafsi ni ama viwezeshwe waandishi waende bush, au waendelee kuvuta na tuendelee kubanana hapa hapa!. Kanisome hapaUzalendo wako uko wapi? Nilisoma mara mbili mbili hapo kwenye blue, kweli taarifa za vijijini haitandikwa kwani bahasha za kaki zenye noti nyekundu 3 hazipo.
Mkuu FF, hujakoisea!.Baada ya kusoma hoja ya mleta mada, majina manne yamenijia kichwani: Ben Saanane, Yericko Nyerere Mohamedi Mtoi na Pasco wa vibahasha.
Tazama ndoto za Dr.Kitila zimeyeyuka kwa laki 2 tu za mgao wa Msaliti Mkuu.pia ndoto za Ludo mtekaji zimepotea kwa elf 50 tu ya gaidi mkuu
Pasco anatetea bahasha au anapinga?haeleweki!Kamanda anazungumzia bahasha na sio pesa halali.mbona wewe unataka kumaanisha bahasha ni haki yako
Mkuu FF, hujakoisea!.
Ukisema Pasco wa vibahasha utakuwa hujanitendea haki!, watu watadhani Pasco ndio mpokea vibahasha mkuu humu!, mimi sio mpokeaji bali ni msambaza!.
Hivyo ungesema Pasco Msambaza Viba..
Pasco.
Very complicated....nafikiri personal dream pia inaumuhimu wakeMkuu Gwailo, ndio maana kuna vyombo vya habari vya umma, paid by taxpayers money, hilo ndilo jukumu lake!, vyombo binafsi ni ama viwezeshwe waandishi waende bush, au waendelee kuvuta na tuendelee kubanana hapa hapa!. Kanisome hapa
[h=3]Waandishi wa Habari na Bahasha: Sio Kila Bahasha ni Rushwa!.[/h]Pasco
Dah ! Hii post imenisononesha sana .
Mkuu Gwailo, ndio maana kuna vyombo vya habari vya umma, paid by taxpayers money, hilo ndilo jukumu lake!, vyombo binafsi ni ama viwezeshwe waandishi waende bush, au waendelee kuvuta na tuendelee kubanana hapa hapa!. Kanisome hapa
[h=3]Waandishi wa Habari na Bahasha: Sio Kila Bahasha ni Rushwa!.[/h]Pasco
Very sad indeedTazama ndoto za Dr.Kitila zimeyeyuka kwa laki 2 tu za mgao wa Msaliti Mkuu.pia ndoto za Ludo mtekaji zimepotea kwa elf 50 tu ya gaidi mkuu
Duuu!!! Kazi ipoUzalendo wako uko wapi? Nilisoma mara mbili mbili hapo kwenye blue, kweli taarifa za vijijini haitandikwa kwani bahasha za kaki zenye noti nyekundu 3 hazipo.
Nafanya kazi ya "kondarasi ya habari", hivyo hivyo vibahasha ni sehemu tuu ya wema wangu kwa wenzangu, kwa sababu nalipwa "consultancy fee" kwa viwango ninavyovijua mimi!, mfano kuna legal firm fulani hapa Dar es Salaam, inacharge legal fees za US $, 5,000 per hour per consultacy!, na taasisi zinalipa!, why not media consultacy fee?.Na hivyo vibahasha unavyovisambaza unakuwa hujavipokea kwanza na unafanya kazi ya bure kuvisambaza?
Vyombo vya umma ni public media, vipo kwa ajili ya public interest!, sasa kama havitimizi wajibu wake kuihudumia public ipasavyo na hii public tukiwemo mimi na wewe, tumenyama na kuwaacha wafanye watakavyo!, tatizo hapa sio hivyo vyombo!, tatizo ni hiyo public haijui wajibu wake kwa vyombo vyake!, ndio maana kuna mahali nimewahi kusema Watanzani tupunguze kulalamika na kuishia pointing fingers only!, tuanze kutenda kwa ku take action for the better!.Vyombo vya umma kaka havipo kwa ajiri ya public interests
No it is not complicated, media ni kazi ya wito kama ulivyo ualimu wa primary!, ukiingia dream yako ni kufundisha watoto, na labda siku moja ufikie level ya mwalimu mkuu!, kwenye uandishi nako ni vivyo hivyo, ukiingia with dreams siku moja uwe editor!, unapogundua huyo editor ambaye you dream to be, ndio kwanza bado anaishi nyumba ya kupanga after 30 years of service!, jioni anaomba bia!.Utaendelea ku dream?!.Very complicated....nafikiri personal dream pia inaumuhimu wake
E bwana huyu ni Pasco? Aisee unatisha inamaaana Lowassa ampe mtu bahasha halafu huyo mtu akamwandike vbaya? Kwani hizo habari hawaziuzi wapate hela za kujikim duu bongo ni zaid ya uijuavyoMkuu alphoce Mawazo, na mimi ngoja nikuite kama kaka unavyotambulika humu, hivyo kamanda Alphonse Mawazo, kwanza asante kwa bandiko lako hili!,
Kuhusu vijana kwenye uzi huu umezungumzia vitu vitatu vikuu,
Mimi nimeguswa pale tuu ulipowazungumzia vijana waandishi wa habari kwa sababu na mimi ni mwandishi wa habari na mwanzo pia nilikuwa kijana!.
- Ndoto
- Taaluma, professionalism
- Reality, (bahasha)
- What is vs what ought to be
Umeanza hivi
Jee ni kweli hawa waandishi vijana walikuwa na ndoto kubwa kubwa?!. Ndoto gani hizo zilizouwawa na vihela vidogo vidogo visivyojaa bahasha?!.
Unaumizwa na na jinsi
wanavyopigwa vumbi na jua kutafuta habari?,
wanavyoshinda kwenye mabenchi ya wakubwa bila kutafuta habari?,
wananavyotafuta vibahasha vya khaki vyenye elfu 30?
wanavyoandika sifa za uongo za mafisadi na wala rushwa hao?.
Kumbe taarifa za ukweli ni zile tuu zilizoko vijijini?!, ndio maana wanaandika sifa za uongo?!, ila pia umetoa sababu za wao kutokwenda vijijini
Msingi halali wa bahasha za waandishi ni kuwezesha kutimiza makumu yao kikamilifu, na haswa logistics, mimi naziita hizi ni bahasha halali za uwezeshaji!, waandishi kama taaluma nyingine zote, wanabidi wawezeshwe ili watimize majukumu yao kikamilifu!.
Asilimia 80 ya Watanzania wanaishi vijijini, hivyo ni kweli huko vijijini ndiko kwenye habari nyingi, ila pia ili kuzifikia habari hizo huko ni lazima waandishi wawezeshwe ki logistic ili wafike huko kijijini, hakuna sababu ya waandishi kusota, kutembea kwa miguu, kulala nje, kulala njaa, akifuata story kijijini!, kama hakuna logistic za kuwafikisha waandishi vijijini, then waacheni waandishi tubanane hapa hapa mjini!.
Kwa uelewa zaidi kuhusu Waandishi na bahasha, pitia hapa Waandishi wa Habari na Bahasha: Sio Kila Bahasha ni rushwa!
Pasco