Judah Tribe
Senior Member
- Sep 1, 2024
- 159
- 594
Leo saa 6 mchana vibaka wenye silaha Nzito wameipiga kwa BOMU gari iliyo kuwa imebeba fedha na kupora fedha
Tukio Hilo limetokea mtaa wa kwathema Gp (Gauteng) gari hiyo iliyo beba fedha ikiwa barabarani vijana sijui waliitrack vipi ghafla kilisikika kishindo tu cha bomu na majibizano ya risasi makali kufuatia Kati ya hao WAHALIFU na walinzi
Lakini walinzi licha ya majibizano hayo hawakufanikiwa kuokoa kiasi hicho cha fedha na wahalifu kufanikiwa kutokomea na fedha hizo
PICHA ZAIDI HIZI CHINI
SWALI :- JE SOUTH AFRICA VIBAKA WANAPATA WAPI SILAHA NZITO KAMA HIZO MABOMU AK47 NK?