Vibanda vilivyowekwa kando ya barabara Jijini Dar es Salaam kuondolewa

Kwa hili Samia yuko sahihi,yaani Dar mji mkubwa uko hovyo , holela mbaya kila mahali vibanda, kariakoo mara boda boda , mara bajaji ukigeuka huku vibanda inakuwa ni uchafu, unaweza fikiri uko masasi kumbo uko Dar , chamsingi wawatafutie mahali pakufanyia biashara zao ndogo ndogo na hao boda boda sehemu nyingine ndani ya jengo ili biashara zao zitambulike.
 
Huu ndiyo ukweli mtupu[emoji106][emoji106]

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
 
Ila watu wanashindwa kuelewa ,tatizo la wamachinga wanaweka biashara kwenye barabara kabisa na ndio chanzo cha foleni huko DAR.

Hata wasipokaa barabarani wakapelekwa sehemu husika lazima mtu aende kufuata mahitaji,kwahiyo hata wakiondolewa wakapelekwa sehemu mahususi kwa kufanyia biashara watu wataenda kununua bidhaa zao.

Kwasasa wamachinga ni kero tupu kwenye barabara na road reserve.
 

Waziri wa kilimo na wadau wajaribu kutoa stimulus packages na mikopo kwa vijana wajikite kwenye kilimo na waachane na uchuuzi mitaani.
 
Unachosema ni sawa Ila Nina Imani hujavaa viatu vyao mkuu. Geuza shilingi uwe ndo wao sidhani Kama ungeshabikia.najua utaendelea kuitetea kwa hoja Ila achana na shida mpaka unakosa buku mfukoni
 
Mzee kuchukuwa mkopo ukaweka kibanda barabarani nisawa kweli! Mimi nashauri hata leo viondolewe,kwanza nikelo kubwa kwa watembea kwa mguu na vilevile ikija kutokea hajari ya gari kuacha njia ndo unaweza kuelewa.Viondolewe safi kabisa
[emoji106][emoji106] Hivi unaweza ukachukua mkopo VICOBA bila kuwa na physical address na collateral ikawa kibanda kilichopo kwenye road reserve?

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…