Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
Nidhamu hamjui wala ustaarabu
Viongozi wanaona watakosa kura
Yaani kila kitu wao siasa tu
Kelele za mabaa SIASA, vurugu la kuweka vibanda wao ni siasa tu
Nchi nyingi za Afrika ziko sawa kiakili kisoda
Maendeleo yanaingizwa kwenye Siasa
Tatizo sheria haziandikikwi na kupitishwa bali kila mmoja anasema lakekutokana na upepo