Vibanda vilivyowekwa kando ya barabara Jijini Dar es Salaam kuondolewa

Kosa kubwa Sana ni kutenganisha machinga na stand.Kila ilipo stand ya bus ni lzm machinga wawepo
 
Safi sana futa vibanda vyote Tanzania nzima mjini na majijjini na vijiwe vya toyo vyote vitoke, tuanze kukabana vichochoroni
Ukianza hilo jela ipo tatizo liko wapi?na hii tabia iliyozuka miaka hii, kundi la watu likiathiriwa tu kutokana na sababu yoyote ile, wanakimbilia eti wataanza wizi/ujambazi!!jela si zipo utahifadhiwa huko.
 
Machinga walikuwa wanapigiwa x inakaa?
hebu kumbuka vizuri maisha ya machinga na mama ntilie kipind cha JK
Kipindi cha jk waliokuwa wanapata wakat mgm na kash kash ni machinga wanaotembeza bidhaa mbali mbali.
 
YAANI MJI UMECHAFUKA SANA AFADHALI, SISI WAENDA KWA MIGUU TULIKUA TUNAPATA SHIDA SANA KUTEMBEA, HAKUNA NJIA YAANI.

TENA KAMA WANACHELEWA, HAWA WATU WAENDE MACHINGA COMPLEX PALE. SISI TUTAWAFUATA HUKO.
Inashangaza sana hii nchi, soko kubwa vile lkn halina tija, yn ile machinga complex inaweza kumeza wafanyabishara wote wa pale karume na kumeza machinga wote wa kariakoo lkn cha kushangaza wanataka kufuata mteja alipo badala mteja afuate huduma, waende tu pale tutawafuata tu sio kufanya jiji liwe hivi, haikubaliki.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii naunga mkono kabisa,kwa Dar imekuwa kero sana mtaa mzima umefungwa kwa mameza huwezi hata kupita.Ukikanyaga bidhaa unakoromewa.Mji unakuwa mchafu kwa mabanda.
 
Nyumbu wanamuingiza mkenge rais Samia ili baadae wapate wafuasi wa kuhudhuria maandamano yao
Mambo wa jiji hawajatembeza kipondo kwa kipindi kirefu,naona sahv wanapasha misuli

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…