Vibanda vya wamachinga mtaa wa Msimbazi Kariakoo vyasambaratishwa

Tumeanza na wamachinga tukimaliza tunakuja kwa bodaboda. Mpaka nchi inyooke.

jipange kukabwa sana na mabasi kutekwa sana mikoani hilo kundi linalotolewa hapo + vyeti feki + wahitimu ambao Jobless kundi linarud mtaani kuangalia alternatives za maisha tegemea tabia za kipindi cha Jakaya kurudi kwa kasi sana , ilibid chief angaya aanze na kuandaa mazingira mazuri mkoa mzima wa dar kisha ndo awafukuze , juzi nmepita maeneo ya Yombo nmekuta kero ya eneo elekezi lipo kwenye njia ya maji taka yanayofunguliwa na wanaoisho kwenye miinuko , hii ilibidi serikali wapige streams za majitaka ili majitaka yasitapakae na kuwa kero , kwa hali kama hii ndio maana vijana wengi walikuwa wanakomaa barabarani sababu soko na mazingira ni rafik kwao
 
Hamna kitu kama hicho
 
Safi sana. Na wasitetereke tena kuwaruhusu.Sio inakaribia kampeni mnawaruhusu tena. Kwanza CCM mna uwezo wa kushinda uchaguzi kwa kuiba kura. Sijui kwa nini 2015 mliwaruhusu tena machinga kujiweka watakapo.
Watarudi tu manka!
 
Back
Top Bottom