King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Mikabo na madirisha kutobolewa kutaongezeka soon
Wasijidanganye Mkuu ,siku hizi ni mwendo wa tyre ,petrol na kibiriti ,za mwizi ni 40 tu....Tutawapiga vibiriti sana tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mikabo na madirisha kutobolewa kutaongezeka soon
Hatari sanaWasijidanganye Mkuu ,siku hizi ni mwendo wa tyre ,petrol na kibiriti ,za mwizi ni 40 tu....Tutawapiga vibiriti sana tu.
Primitive ways hio.
Ukiboresha kilimo viwanda vitaongezeka ajira zitaongezeka machinga na bodaboda watapungua mijini sababu kilimo kinalipa, viwanda vinaajiri.
Oyaaaa [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Hata harufu za mavi na mikojo ya hawa wahuni itapungua
Huko Hakuna kiki,kiki ni kwenye project zinazoneka hata kama hazina tija.Kabisa sector ya kilimo serikali inaichukulia poa wakati ndio ina great multiplier effect ya kuongeza ajira....Tatizo viongozi wetu wanawaza V8,kupewa nyumba masaki ,20% tu.
Ni kuwaonea mwendazake ndie aliyeleta tatizo la machinga kwa kupambana na matajiri wakakimbia ofisi, viwanda, biashara zikafa wakakosa ajira,baada ya kuwatengeza machinga akajifanya mtetezi wao Ili apate kura zao.Machinga wanasumbuliwa bure
Tunawasubiria waje na hizo kabali. Tutawamaliza watakwisha. Mbona wasomi hawana ajira na hawakabi.Mikabo na madirisha kutobolewa kutaongezeka soon