FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Nchi itanyooka kwa katiba mpya TU, na sio kuwanyoosha wamachinga na mabodaboda!Tumeanza na wamachinga tukimaliza tunakuja kwa bodaboda. Mpaka nchi inyooke.
Kila jambo huanza kwa hatua ndogo ndogo mkuu. Huko tutafika tu. Kwa sasa tufanye haya yanayowezekana ambayo yalionekana kama vile hayawezekani.Nchi itanyooka kwa katiba mpya TU, na sio kuwanyoosha wamachinga na mabodaboda!
Tumeanza na wamachinga tukimaliza tunakuja kwa bodaboda. Mpaka nchi inyooke.
Hamna kitu kama hichojipange kukabwa sana na mabasi kutekwa sana mikoani hilo kundi linalotolewa hapo + vyeti feki + wahitimu ambao Jobless kundi linarud mtaani kuangalia alternatives za maisha tegemea tabia za kipindi cha Jakaya kurudi kwa kasi sana , ilibid chief angaya aanze na kuandaa mazingira mazuri mkoa mzima wa dar kisha ndo awafukuze , juzi nmepita maeneo ya Yombo nmekuta kero ya eneo elekezi lipo kwenye njia ya maji taka yanayofunguliwa na wanaoisho kwenye miinuko , hii ilibidi serikali wapige streams za majitaka ili majitaka yasitapakae na kuwa kero , kwa hali kama hii ndio maana vijana wengi walikuwa wanakomaa barabarani sababu soko na mazingira ni rafik kwao
Watarudi tu manka!Safi sana. Na wasitetereke tena kuwaruhusu.Sio inakaribia kampeni mnawaruhusu tena. Kwanza CCM mna uwezo wa kushinda uchaguzi kwa kuiba kura. Sijui kwa nini 2015 mliwaruhusu tena machinga kujiweka watakapo.
Hapa CCM walikosea sanaSafi sana. Na wasitetereke tena kuwaruhusu.Sio inakaribia kampeni mnawaruhusu tena. Kwanza CCM mna uwezo wa kushinda uchaguzi kwa kuiba kura. Sijui kwa nini 2015 mliwaruhusu tena machinga kujiweka watakapo.