Vibanda vya wamachinga mtaa wa Msimbazi Kariakoo vyasambaratishwa

Hongera sana Amos Makalla,kazi inaonekana. Wakuu wa mikoa ya Mwanza na Arusha bado wako usingizini. Nimepita kariakoo leo mitaa imeanza kutakata
Wahakikishe hawarudi tena
 
Arusha huu utaratibu utaanza lini. Maana ni kero.
 
Ukiwa jambazi dawa yako ni risasi tuu !!!usitutishe
 
 
 
hakuna fremu za laki moja au elfu hamsini ?, Choice ni kama mtu hana uwezo na framu basi atembeze bidhaa, sababu kupanga kwenye road reserves au sehemu ambayo sio husika sidhani kama ni option;
Kaka unaijua shughuli ya kutembea?
 
Tutawachoma moto na risasi..warudi mashamba wakalime huko
 
Kaka unaijua shughuli ya kutembea?
Kutatua tatizo kwa kuongeza tatizo sio suluhisho..., Kila siku nasema utatuzi wa kudumu wa Machinga ni kuacha kuwazalisha kwa kuwa na shughuli mbadala za uzalishaji (hakuna mtu anapenda kuwa machinga na kuishi kwa kubahatisha hakuna tija kwa taifa wala kwa mbahatishaji)

Lakini kama hilo halifanyiki / halijafanyika suluhisho sio kuendelea kuharibu kwa watu kutofuata utaratibu hivyo kuwa kero na budhudha kwa wote...., Pia muendelezo huu wa holela holela mwisho wake sio mwema (kwa lugha ya kigeni ninaweza kusema kwa kuendelea na kupanga bidhaa kiholela ni kama "To Cut your Nose to Spite your Face"

 
Nimepita hapo muda si mrefu, naona Kariakoo inaanza kupendeza sasa, hongera na pongezi zote zimuuendee mkuu wa mkoa.

================================
Update: Polisi wakimbizana na Wamachinga Dar
wameona uchaguzi wa 2025 unakaribia, sasa wanawaharibia wamachinga ili 2025 wapate mtaji wa maneno wa namna ya kuwalaghai wamachinga; kwamba wamachinga na mamantilie mkitupigia kura ccm, hamtabuguziwa tena. Na walivo mapunga watawapigia ccm kura.
 
Tumeanza na wamachinga tukimaliza tunakuja kwa bodaboda. Mpaka nchi inyooke.
Primitive ways hio.
Ukiboresha kilimo viwanda vitaongezeka ajira zitaongezeka machinga na bodaboda watapungua mijini sababu kilimo kinalipa, viwanda vinaajiri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…