Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Si bora hiyo kuliko kukaa idle ukihesabu nyota anganiHakuna kazi pale. Pale mnalipwa buku 4. Na ukila chakula buku maji jero inabaki 2500/= toa nauli 1000. Inabaki 1500 ndo unaiacha kwako
Labda ukaangalie darlin kule Mbagala Kongowe.. Wao wa nalipa Kwa wikiaisee Mr, hamna kiwanda kingine wanalipa maslaahi mazuri kidogo zaidi na hapo kwa siku
Huijui kazi ya pale Kwa malipo ya elf 4. Huwezi kurudi tena maisha yako yoteSi bora hiyo kuliko kukaa idle ukihesabu nyota angani
Mbagala hiyo. Utoke Bunju hadi Mbagala? Kwanini usiingie katika uwinga pale kariakoo?Mr, jongowe ipo maeneo gani
Kuna kimoja kinaitwa PrinceWare, kipo Kipawa, 6k kwa siku ila kuingia ni saa 12 asubuhi, ukizidi hapo geti linafungwa, kutoka saa 2 usikuKabisa mkuu