dronedrake
JF-Expert Member
- Dec 25, 2013
- 23,901
- 58,103
Vingunguti kabla AirportKipawa ipo wapi mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vingunguti kabla AirportKipawa ipo wapi mkuu
Sikumbuki wanalipa kwa siku au lahOkay, na ujira ni kwa siku sio wiki mkuu
Swali gumu hili, wewe fika pale kabla muda tajwa utajua hukohukoHivyo hata kesho nikiwahi naweza pata?
Pale hamna kazi paleee. Haiwezekani mtu aonekane kama ngo'mbe. Kuna watu Wana lala na madeni kila Leo paleKuna rafiki yangu anafanya kazi kaajiriwa pale ana mkataba ni electrical engineer diploma wanamlipa hela mbuzi kila siku anatafuta kazi aondoke pale lakini hajafanikiwa bado na ana familia
Wewe Kaka jitoe ufaham tuuu. Ingia zako pale nakupa namba za mtu mmoja mstaarabu anaitwa Kalifa, au nikupe remwood! Watakuja mautundu uishi mjiniHapo si lazima uwe na mtu unayemjua kariakoo ili ukifika akupe ramani jinsi mishe zinavyooenda
Kaka 😆. Mm simshaurii Kwa kazi ya palee. Kiroba cha ngano kimoja kinabwebwa Kwa shing 15 au 10. Ukibeba 100 unapata 1500 au 1000 yani.mkuu fanya tu, maana viwanda vyote hivyo (vya kihindi) huzidi 4k kwa siku
Jamaa bora akawe winga Kariakoo. Akili MINGI tu anakula kiwepesi kuliko kugeuzwa ngadu paleWanalipa elfu nne hadi tatu then Kazi ni kubeba viroba vya ngano kilo 50 na 25 Kuanzia asubuhi Hadi jioni na pia night shift hipo it about fucking job huyo Bakhressa Ni mpuuzi mmoja. Including Mo dewij and so called matajiri uchwara
Sikumbuki kama hata hiyo 10 imefika. Kuna jamaa angu alikimbiaga pale. Enzi zile ilikuwa shing 5 kiroba kimojaKaka 😆. Mm simshaurii Kwa kazi ya palee. Kiroba cha ngano kimoja kinabwebwa Kwa shing 15 au 10. Ukibeba 100 unapata 1500 au 1000 yani.
Ni kweli mzee lakini pale hata buku hauna kwa mfuko, inabidi ujizime data tu japo inaumaKaka 😆. Mm simshaurii Kwa kazi ya palee. Kiroba cha ngano kimoja kinabwebwa Kwa shing 15 au 10. Ukibeba 100 unapata 1500 au 1000 yani.
Alikuwa mwizi huyo.Ajira za huyo tajiri zilikuwa miaka ya 1995/6 sio sasa hivi mkuu.
Kuna jirani alikuwa kibarua tu na umiliki wa tax bubu 6 na demu wa kiarabu hapo Tmk kwa Aziz Ally.
Inbox mePw kaka mm nipo tayari