Vibarua kiwanda cha Bakhresa Buguruni

Vibarua kiwanda cha Bakhresa Buguruni

Kwa kweli kuna wenzetu mnateseka sana,sasa ujira wa elfu 4 per day mbona ni mdogo sana jamani?hawa matajiri hawana huruma kabisa.bora hata ingekua 10k kwa siku
Hiyo 10k ipo ila sio kwa kazi kama hizo

Nadhani ukienda kwenye viwanda vya steel unaweza ukapata hadi 15k

Ila changamoto yake ni kwamba unaambiwa kila mfanyakazi unayemkuta pale ujue hiyo ni siku yake ya kwanza hapo kiwandani.

Ukishachukua malipo ya 15k ukitoka hapo utachagua mwenyewe ukapatiwe huduma kati ya Amana au Muhimbili

Au usizi home ujiuguze mwenyewe
 
Ukishachukua malipo ya 15 ukitoka hapo utachagua mwenyewe ukapatiwe huduma kati ya Amana au Muhimbili

Au usizi home ujiuguze mwenyewe
Hizi ajira za hawa kanjibhai ni changamoto sana, ni zaidi ya manamba aisee.
 
Hiyo 10k ipo ila sio kwa kazi kama hizo

Nadhani ukienda kwenye viwanda vya steel unaweza ukapata hadi 15k

Ila changamoto yake ni kwamba unaambiwa kila mfanyakazi unayemkuta pale ujue hiyo ni siku yake ya kwanza hapo kiwandani.

Ukishachukua malipo ya 15k ukitoka hapo utachagua mwenyewe ukapatiwe huduma kati ya Amana au Muhimbili

Au usizi home ujiuguze mwenyewe
😀 Jamaa ananambia uji wa chuma huu hapa , wewe unapiga mzigo hapa (Metro Steel cha Jeti Lumo )
alienda siku moja tu
 
Hiyo 10k ipo ila sio kwa kazi kama hizo

Nadhani ukienda kwenye viwanda vya steel unaweza ukapata hadi 15k

Ila changamoto yake ni kwamba unaambiwa kila mfanyakazi unayemkuta pale ujue hiyo ni siku yake ya kwanza hapo kiwandani.

Ukishachukua malipo ya 15k ukitoka hapo utachagua mwenyewe ukapatiwe huduma kati ya Amana au Muhimbili

Au usizi home ujiuguze mwenyewe
Kivipi mkuu??
 
😀 jamaa ananambia uji wa chuma huu hapa , wewe unapiga mzigo hapa (Metro Steel cha Jeti Lumo )
alienda siku moja tu
Basi wakamvisha visha magloves yale ye bila kujua yale magloves yana husiana vipi na kazi anayoenda kufanya

Walivyo makatiri kwanza mwanangu wakampa kitengo cha jikoni

Anapita hadi kwenye kinu anaopoa nondo ikiwa imeiva yani imekuwa yamoto hadi imekuwa nyekundu

Halafu anaipeleka kwenye pool la maji kuipoza

Unaambiwa hayo maji ya kupozea hizo nondo yakikurukia balaa lake sio dogo

Mchizi akaomba ruhusa aende chooni...

Yap alifanya maamuzi sahihi
 
Yap alifanya maamuzi sahih

Aisee kuna tatizo kidogo naona inakataa kuanziasha conversation na wewe
Aisee Mr, kama hamna tatizo ni text humu 0629761478 maana PM inakataa
 
Back
Top Bottom