Interlacustrine E
JF-Expert Member
- Jun 3, 2020
- 3,397
- 6,015
Acha uwongo wewe, makadirio ya sensa 2012 ilikuwa ni jumla ya wa-TZ M 60, na sensa 2022 ni M 61, sasa huoni karibuni kwa zaidi ya miaka 10 wamezaliwa wa-TZ M 1 tu?Mkiwa na raia wengi sana ndan ya nchi at the end of the day mnageuka kuwa cheap labours
Just imagine ndan ya miaka 10 tu wamezaliwa na kuongezeka raia zaidi 16ml
Control population you control the economy
Ubarikiwe kiongoziNa ku PM fanya kama ninavyokuelekeza utapata kazi ya mshahara ya 220,000 kwa mwezi kinondoni leo.
Njoo nikuunge kazi ya kufanyaNi kweli mzee lakini pale hata buku hauna kwa mfuko, inabidi ujizime data tu japo inauma
Ukiwa winga unaweza laza sh ngapi baada ya kutoa matumizi?Kijana mwenzagu. Maisha hayasubiriwi.. Yatafute ili watu was iwe wabaya. Anza hata na uwinga kariakoo Kuna digrii nyingi sana mule zinadanda danda
Minimum 15-20 ila siku mambo yakikuendea vizuri unaondoka na 50 ila lazima upige winga zaidi ya mojaUkiwa winga unaweza laza sh ngapi baada ya kutoa matumizi?
Unafanyikaje uwinga? Pesa unaipata kwa nani?Minimum 15-20 ila siku mambo yakikuendea vizuri unaondoka na 50 ila lazima upige winga zaidi ya moja
Boda akitoa matimizi na hesabu ya boss anaeeza laza sh ngapi per day?Nakushauri upige bodaboda
Inategemea na bidhaa unayouza,mfano mimi leo nimelaza 110,000/= kesho asubuhi nina mzigo wa kudalalia ntapata 30k,ila kuna siku huwa inaweza ikapita dry kabisa hujapata hata mia.Ukiwa winga unaweza laza sh ngapi baada ya kutoa matumizi?
Babu umekulia masaki nini?Unafanyikaje uwinga? Pesa unaipata kwa nani?
Ohooo.... Sasa ukiwa winga unakula kwa mwenye mzigo au kwa mteja au kwa wote?Inategemea na bidhaa unayouza,mfano mimi leo nimelaza 110,000/= kesho asubuhi nina mzigo wa kudalalia ntapata 30k,ila kuna siku huwa inaweza ikapita dry kabisa hujapata hata mia.
Mainly ni kwa mtejaOhooo.... Sasa ukiwa winga unakula kwa mwenye mzigo au kwa mteja au kwa wote?
Unaweza laza ngapi per day baada ya kutoa matumizi na hela ya boss?Nakushauri kama una laki 3 nenda tandika kuna kampuni inaitwa WATU LTD wanatoa pikipiki kwa njia ya mkopo ila kianzio lazima uwe na laki 3.
Marejesho kwa siku unapeleka elfu 7500 ila wao wanataka marejesho kwa wiki ambayo ni 50500,mkataba ni kwa muda wa miezi 15 ambayo ni sawa na mil 3,300,000 .
Vigezo uwe na barua kutoka serikali yako ya mtaa,uwe na tin number,uwe na mdhamini mmoja mwenye leseni ya udereva au kitambulisho cha nida tu ukikamilisha kila kitu pikipiki unapata siku hiyo hiyo.
Ukipata pikipiki tafuta smartphone ya bei rahisi jiunge na huduma ya bolt,Uber na in drive bro pesa utakayopiga hutoamini .
Kuna vijana ni degree holder niliwashauri hivyo leo hii hawana muda na ajira pesa wanayoingiza mwalimu akasome
Uwinga unafanya makubaliano na wafanyabiashara wenye maduka unawauzia bidhaa zao,Kama kiatu ni elfu 20 winga anauza elfu 23 ya tajiri 20 na winga yake elfu 3Unafanyikaje uwinga? Pesa unaipata kwa nani?
Kwahio unapita stoo na maduka makubwa unachukua sample kupelekea wa maduka ya reja reja kisha wanakupa oda au unafanyaje hasa?Mainly ni kwa mteja
Khaa.. mzee maswali yako yanatia uvivu kujibuKwahio unapita stoo na maduka makubwa unachukua sample kupelekea wa maduka ya reja reja kisha wanakupa oda au unafanyaje hasa?
Ndo ile ya kukaribisha mteja na kuongea nae kama vile wee ndo muuzaji dukani?Uwinga unafanya makubaliano na wafanyabiashara wenye maduka unawauzia bidhaa zao,Kama kiatu ni elfu 20 winga anauza elfu 23 ya tajiri 20 na winga yake elfu 3
Bolt wana perce25Unaweza laza ngapi per day baada ya kutoa matumizi na hela ya boss?
Bolt wanakata asilimia 25 ya pesa utakayopakia abiria,mfano abiria ame request route ya elfu 2 bolt ya kwao ni 500 bodaboda ya kwako ni 1500.Unaweza laza ngapi per day baada ya kutoa matumizi na hela ya boss?